Na vimwana boom ikiisha unsukuma kama unsukuma mleviRaha yake boom etiii?
Kivipi? Una tego sio??Mkuu tusilaaniane!
We dada wewe naongelea elimu yako ngazi ya chuo kikuu umefika lini wewe, sijamaanisha kutembelea majengo ya chuo kikuu halafu wewe,wewe umesomea mambo ya urembo ngazi ya shot courseSijaelewa swali lako. Yaani nimefika kukanyaga ardhi ya pale au nimesoma chuo kikuu lini?
Ndiyo maana nilisema mapema tuelekezwe tucoment wapi sisi ona sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mimi siendi huko hata kwa dawa, kama napotea tu nasikia hakuna jipya ni kukalili makaratasi ya walimu tu baadae unakuja kupambana na sisi mtaani!Sawa mkuu. Nami napenda kuwatia moyo ipo siku na nyie mtaenda kusoma CHUO KIKUU
Tatzo la Jf kila mtu anajikuta msomi hapo. Weng hawajipishana na watoto wa instagram full kuuza sura.
Ahaaaa nimeanza 2008 nikamaliza 2011 mkuu.We dada wewe naongelea elimu yako ngazi ya chuo kikuu umefika lini wewe, sijamaanisha kutembelea majengo ya chuo kikuu halafu wewe,wewe umesomea mambo ya urembo ngazi ya shot course
😂unazingua mkuu, kumbe na wewe umeng’atwa na kunguni za mabibo.Mkuu tusilaaniane!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahaaaa nimeanza 2008 nikamaliza 2011 mkuu.
Wee Mimi nisome short course Mimi ya urembo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulisomea niniAhaaaa nimeanza 2008 nikamaliza 2011 mkuu.
Wee Mimi nisome short course Mimi ya urembo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha ndiyo maana lasaba nimesema msiachwe peke yenu akili haitapanuka.Ila mimi siendi huko hata kwa dawa, kama napotea tu nasikia hakuna jipya ni kukalili makaratasi ya walimu tu baadae unakuja kupambana na sisi mtaani!
sio vizuri mkuuKivipi? Una tego sio??
Hata nikikuambia utaelewa kweli???[emoji23][emoji23][emoji23]Ulisomea nini
hahaa hapana Mkuu, sijafika huko😂unazingua mkuu, kumbe na wewe umeng’atwa na kunguni za mabibo.
Hiyo ACCOUNTS &FINACE ndiyo inakupa kiweweHata nikikuambia utaelewa kweli???[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimesoma BAF
Tatizo LA saba hizo zeezee off kozi hatuziweziHapana hata darasani huwa wanapangwa wanaojiweza zaidi kimasomo na wasiojiweza sana.
Uli wale wasiojiweza wajifunze kwa wanaojiweza.
Sasa la saba wakibaki wenyewe watajifunza nini?
Acha niwa motivate ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂Hahahahaha ndiyo maana lasaba nimesema msiachwe peke yenu akili haitapanuka.
Ona sasa mawazo yako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kabisa mkuu, wanangu watajifunza ufundi kuliko kupoteza muda huko vyuo!Vijana mna vyeti hamna ajira..ni heri la saba mjivunie tu maana mnaweza mkawa na akili za kujiongeza kuliko hawa wanajiita wa vyuo vikuu