Tulioishia shule ya Msingi tukumbushane!

Sijaelewa swali lako. Yaani nimefika kukanyaga ardhi ya pale au nimesoma chuo kikuu lini?
Ndiyo maana nilisema mapema tuelekezwe tucoment wapi sisi ona sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We dada wewe naongelea elimu yako ngazi ya chuo kikuu umefika lini wewe, sijamaanisha kutembelea majengo ya chuo kikuu halafu wewe,wewe umesomea mambo ya urembo ngazi ya shot course
 
Sawa mkuu. Nami napenda kuwatia moyo ipo siku na nyie mtaenda kusoma CHUO KIKUU
Ila mimi siendi huko hata kwa dawa, kama napotea tu nasikia hakuna jipya ni kukalili makaratasi ya walimu tu baadae unakuja kupambana na sisi mtaani!
 
We dada wewe naongelea elimu yako ngazi ya chuo kikuu umefika lini wewe, sijamaanisha kutembelea majengo ya chuo kikuu halafu wewe,wewe umesomea mambo ya urembo ngazi ya shot course
Ahaaaa nimeanza 2008 nikamaliza 2011 mkuu.
Wee Mimi nisome short course Mimi ya urembo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila mimi siendi huko hata kwa dawa, kama napotea tu nasikia hakuna jipya ni kukalili makaratasi ya walimu tu baadae unakuja kupambana na sisi mtaani!
Hahahahaha ndiyo maana lasaba nimesema msiachwe peke yenu akili haitapanuka.
Ona sasa mawazo yako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vijana mna vyeti hamna ajira..ni heri la saba mjivunie tu maana mnaweza mkawa na akili za kujiongeza kuliko hawa wanajiita wa vyuo vikuu
 
Hapana hata darasani huwa wanapangwa wanaojiweza zaidi kimasomo na wasiojiweza sana.
Uli wale wasiojiweza wajifunze kwa wanaojiweza.
Sasa la saba wakibaki wenyewe watajifunza nini?
Acha niwa motivate ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo LA saba hizo zeezee off kozi hatuziwezi
 
Hahahahaha ndiyo maana lasaba nimesema msiachwe peke yenu akili haitapanuka.
Ona sasa mawazo yako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂
Kwani uongo mkuu?

Wengi wenu chuo mnaenda kukua tu(samahani lakini) ili umri usogee muolewe na kuoa!
 
Vijana mna vyeti hamna ajira..ni heri la saba mjivunie tu maana mnaweza mkawa na akili za kujiongeza kuliko hawa wanajiita wa vyuo vikuu
kabisa mkuu, wanangu watajifunza ufundi kuliko kupoteza muda huko vyuo!
 
Back
Top Bottom