Tulioitika Wito Kuhamia Burundi, Tumefarijika Sana Kumuona Former First Lady, Mama Salma Kikwete. Kumbe Rais Akiwa Mwanamke, Nchi Haina First Lady!

Kama mfumo wenyewe wa Urais, makamu wa Rais pamoja na Prime Minister tumeiga kutoka kwa wazungu basi hatuna budi hata suala la kuwa na mke zaidi ya mmoja ama la pia tuige kutoka hukohuko kwa "development partners" na sio kuchukua mambo nusunusu unless otherwise turejee katika mifumo yetu ya kabla ya ukoloni ya kuendeshana ki-chief. Sidhani kama hii idea yako ipo sahihi.
 
Tanzania tuna wake wengi, why serikali inamtambua mke mmoja tuu wa kiserikali na mtu mwenye wake wawili kisheria, anatakiwa kumuandika mke mmoja tuu na yule mke mwingine anahesabiwa kama kimada!.
Mkuu, unachokisema ni sahihi sana ila kumbuka hayo yote ni matokeo ya umasikini. Nchi ikishakuwa masikini inakosa kauli juu ya namna bora ya kujipangia mambo yake.

Nchi ikishakuwa masikini inaletewa kila aina ya tamadumi za kigeni kwa maana ikishindwa kufanya hivyo itanyimwa misaada. Tazama Africa ya leo kwa mfamo.

Uislam na Ukristo umetamalaki kila pahala. Waafrika hawana Chao. Zipo wapi dini za mababu zetu? Dini zinaleta mgawanyiko katika jamii. Hawa wanaoa mmoja, wale wanaoa mpaka wanne. What's this?

Tazama yaliyotokea kule visiwani Zanzibar. Eti, waafrika waliovaa tamaduni za kiarabu wanawaletea mzozo waafrika wenzao waliovaa tamaduni za wazungu wasijenge pahala pa kufanyia ibada. Haya yote ni matokeo ya umasikini.

Laiti kama tungekuwa na uchumi wa juu kama China, basi tungekuwa na uthubutu wa kujenga mifumo ya kuwasiliana na Mungu inayofananan na mazingira yetu.
 
paskali umeenda lini burundi, juzi hapa ulikuwa na mzee inyasi hapa geita unapiga maji???
 
Mkuu ni kweli huko hakuna Tozo!?

Halafu kale ka vuguvugu ka mapinduzi kametulia!?

Nasikia sisi na Burundi tumeungana ni kweli!!?

Hebu majibu tafadhali!!
Nchi ngumu hii ktk mambo hayo, wazawa wanapelekwa kutawala Kwa Jirani, na majirani wanaletwa kutawala huku.

Mabinti zao wanaolewa na wakubwa wetu Ili kupunguza tension na kuleta utulivu.

Mizizi ya AMANI ya nchi hii kuijua ni utata.

Bt kama ni Kwa Maslahi mapana ya nchi, Acha ikae hivyo hivyo.

Ameeeen.
 
Kwanini yeye na sio Janeth?

Kuna mambo yakisemwa inaonekana ni uchochezi au kuibua taharuki, lakini kuna sababu ya kutolea maelezo!
 
Huwa kunakuwa na limited powers na huenda hata budget kwa ajili ya First Lady. Sasa ina maana Salma Kikwete kwa sasa ndio beneficiary wa hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…