Hatokuwa, boresha kuona kwako.Huyu binti ana roho nzuri sana, namuona 2025 akiwa first lady.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatokuwa, boresha kuona kwako.Huyu binti ana roho nzuri sana, namuona 2025 akiwa first lady.
Nafasi za mchongo hizoKwanini hakwenda mama best president mama yetu mzuri mama JPM? Maana yeye ndie currently former first lady
Kwani hilo lilikua kongamano la kisiasa?[emoji706][emoji706][emoji706]Salma ni mbunge na kaalikwa sasa aende Janet kama nani?
Kama hajishighulishi na siasa unategemea nani amuweke?
La kitaalamu ila unaenda kwa mualiko,hujipeleki.Kwani hilo lilikua kongamano la kisiasa?[emoji706][emoji706][emoji706]
Acha dharau kwa watanganyika.Incoming First Lady 2030 ameanza kufanya kazi vizuri kabisa
Janet na Salma wote walikuwa waalimu wa shule ya msingi; tena wamefundisha shule moja karibu miaka 10.Kingereza mzee
Bila shaka ni mkutano wa wives of the incumbent presidents. Mke wa Mzee Mpango (VP) was my favorite. Wastaafu wabaki kuwa washauri tu ili kuwajengea uwezo damu changa.Kwanini hakwenda mama best president mama yetu mzuri mama JPM? Maana yeye ndie currently former first lady
Huyo ni mstaafuKwa Nini asiende huko Janet Magufuri... Huu ni upendeleo
Hao wote ni wastaafu na wana uzoefu. Wanapaswa kupika damu changa na wao kuwa nje kabisa ya uwanja/cameras.Kati ya A5 na A4 nani ali faa ahudhurie? Salma Kikwete au Janet Magufuli?
Nami nimeshangaa, Janet yupo ni former 1st lady why Salma???!!!.Kwa Nini asiende huko Janet Magufuri... Huu ni upendeleo
Kwani Mwinyi anavaa Kobazi?Mke wa Mwinyi havai hijabu?
So ikitokea mkutano kufanyika Sudan atatafutwa first lady ambaye chimbuko lake ni kutoka huko?.Lazima uelewe Salma Kikwete Burundi ni kwao. Chimba Historia
Acha zereu mama Salma vipiKingereza mzee
Kwanini asingekuwa Janeth kwenye hiyo shughuli?mbona wanamtenga Sana huyu mama?Wanabodi,
Baada ya kiongozi fulani kututaka tusioridhika na hali ya nyumbani, tuhamie Burundi, mimi ni mmoja wa walioitika wito huo tumehamia Burundi sasa naishi Bujumbura!
Tangu tumehamia hapa, tumefarijika sana kwa kiongozi wa kitaifa kutoka Tanzania kutembelea Burundi.
Huyu ni Mheshimiwa Salma Kikwete, former 1st Lady na Mbunge wa Bunge la JMT.
Mama Salma yuko hapa Bujumbura kuhudhuria Kongamano la siku 3 la Kimataifa la ma 1st Ladies wa Africa kujadili Afya ya Mama, mtoto na kijana balehe, linalofanyika katika jiji la Bujumbura.
Wanaokuta hapa ni ma 1st lady, nilipojiuliza kwanini Tanzania aje former 1st lady?!, ndipo nikagundua kumbe nchi inapotawaliwa na rais mwanamke, post ya 1st Lady inakuwa haipo!, na kwa vile hii ndio mara ya kwanza kwa Tanzania kuwa na rais mwanamke, the role of 1st gentlemen is not defined!
Kufuatia nchi kutokuwa na 1st lady, mialiko yote ya fast lady sasa inakwenda kwa former 1st lady na kiukweli Salma Kikwete alivyo mtu wa mashamsham, ameuchangamsha sana huu mkutano na amemwaga nondo za kufa mtu!
This is a wake up call kwa serikali yetu kuintroduce post ya 2nd Lady na awe ni mke wa VP na 3rd Lady mke wa PM, ili ikija mialiko ya 1st lady kama hayupo tumpeleke 2nd lady or 3rd lady! Its a loss kwa nchi kutokuwa na 1st lady, na sasa ni muda muafaka the role of 1st Gentleman iwe defined na aanze kuonekanika!
Tena tutengeneze an Africa Protocal of first lady akitokea rais ana wake wawili, wake wote wawili watambuliwe kama 1st lady 1 na 1st lady 2, 3, 4 na kuendelea na sio kumtambua mke mmoja tuu ndie anabeba title ya 1st lady halafu wake wengine wote ni nobodies!, huku ni kuwabagua!
Maadam nchi yetu inatambua ndoa za wake wengi, then akotokea rais mwenye mke zaidi ya mmoja, wake zake wote wawili watambuliwe!
Pale mikocheni kulutokea raia mmoja wa Sweeden tajiri, akiishi Mikocheni B, akachenguka na mwanamke mmoja wa Kizaramo akaoa, baadaye akukutana na Tanga line, akakuta ni zaidi ya Mzaramo, akaoa, akawa na wake wawili. Mke mkubwa akamzalia watoto 4, mke mdogo watoto wawili.
Wakati nikishi Stockholm , Sweden, huyu jirani akaamua kurejea nyumbani Sweden, akabeba wake zake wawili na wanae 6 kurejea kwao. Kufika Airport, akazuiliwa kuingia nchini kwake na wake wawili kwasababu katiba ya Sweden inatambua ndoa ya mke mmoja tu. Hiyo aruhusiwe kuingia Sweden lazima atoe talaka kwa mke mmoja na kudeclare ni mistress, hivyo aliitwa mwanasheria, ikaandikwa talaka, declaration ya mistress ikaandikwa baba akalazimika kumdeclare mke mdogo kimada ndio akaruhusiwa kuingia. Tanzania tuna wake wengi, why serikali inamtambua mke mmoja tuu wa kiserikali na mtu mwenye wake wawili kisheria, anatakiwa kumuandika mke mmoja tuu na yule mke mwingine anahesabiwa kama kimada!.
Sheria zetu ziendane na hali halisi za maisha yetu.
Karibuni Burundi, wale wa yale mambo yetu yale!, huku ni mambo ya interlucustrine!, sii mchezo!. Tanzania sirudi!.
Paskali
Kumbe mme akiwa hajui anamuambukiza na mke etiKingereza mzee
Kwanini wasimchukue mama magufuli ambaye ni recent former first lady?? Au alichomoa?Wanabodi,

Akipanga Maulana na iwe hivyo.Huyu binti ana roho nzuri sana, namuona 2025 akiwa first lady.