Zainab j
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,817
- 2,362
Janeti Ni introvertHakika umenena ila umesahau kuwa tunaongozwa na Msoga.
Pia nilisikia Salmia ni mhutu au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Janeti Ni introvertHakika umenena ila umesahau kuwa tunaongozwa na Msoga.
Pia nilisikia Salmia ni mhutu au?
Pisi Kali hazivaagi hijab!!Mke wa Mwinyi havai hijabu?
Kwanini asiende Mama Janet Magufuli, Siti Mwinyi ama Anna Mkapa?Wanabodi,
Baada ya kiongozi fulani kututaka tusioridhika na hali ya nyumbani, tuhamie Burundi, mimi ni mmoja wa walioitika wito huo tumehamia Burundi sasa naishi Bujumbura!
Tangu tumehamia hapa, tumefarijika sana kwa kiongozi wa kitaifa kutoka Tanzania kutembelea Burundi.
Huyu ni Mheshimiwa Salma Kikwete, former 1st Lady na Mbunge wa Bunge la JMT.
Mama Salma yuko hapa Bujumbura kuhudhuria Kongamano la siku 3 la Kimataifa la ma 1st Ladies wa Africa kujadili Afya ya Mama, mtoto na kijana balehe, linalofanyika katika jiji la Bujumbura.
Wanaokuta hapa ni ma 1st lady, nilipojiuliza kwanini Tanzania aje former 1st lady?!, ndipo nikagundua kumbe nchi inapotawaliwa na rais mwanamke, post ya 1st Lady inakuwa haipo!, na kwa vile hii ndio mara ya kwanza kwa Tanzania kuwa na rais mwanamke, the role of 1st gentlemen is not defined!
Kufuatia nchi kutokuwa na 1st lady, mialiko yote ya fast lady sasa inakwenda kwa former 1st lady na kiukweli Salma Kikwete alivyo mtu wa mashamsham, ameuchangamsha sana huu mkutano na amemwaga nondo za kufa mtu!
This is a wake up call kwa serikali yetu kuintroduce post ya 2nd Lady na awe ni mke wa VP na 3rd Lady mke wa PM, ili ikija mialiko ya 1st lady kama hayupo tumpeleke 2nd lady or 3rd lady! Its a loss kwa nchi kutokuwa na 1st lady, na sasa ni muda muafaka the role of 1st Gentleman iwe defined na aanze kuonekanika!
Tena tutengeneze an Africa Protocal of first lady akitokea rais ana wake wawili, wake wote wawili watambuliwe kama 1st lady 1 na 1st lady 2, 3, 4 na kuendelea na sio kumtambua mke mmoja tuu ndie anabeba title ya 1st lady halafu wake wengine wote ni nobodies!, huku ni kuwabagua!
Maadam nchi yetu inatambua ndoa za wake wengi, then akotokea rais mwenye mke zaidi ya mmoja, wake zake wote wawili watambuliwe!
Pale mikocheni kulutokea raia mmoja wa Sweeden tajiri, akiishi Mikocheni B, akachenguka na mwanamke mmoja wa Kizaramo akaoa, baadaye akukutana na Tanga line, akakuta ni zaidi ya Mzaramo, akaoa, akawa na wake wawili. Mke mkubwa akamzalia watoto 4, mke mdogo watoto wawili.
Wakati nikishi Stockholm , Sweden, huyu jirani akaamua kurejea nyumbani Sweden, akabeba wake zake wawili na wanae 6 kurejea kwao. Kufika Airport, akazuiliwa kuingia nchini kwake na wake wawili kwasababu katiba ya Sweden inatambua ndoa ya mke mmoja tu. Hiyo aruhusiwe kuingia Sweden lazima atoe talaka kwa mke mmoja na kudeclare ni mistress, hivyo aliitwa mwanasheria, ikaandikwa talaka, declaration ya mistress ikaandikwa baba akalazimika kumdeclare mke mdogo kimada ndio akaruhusiwa kuingia. Tanzania tuna wake wengi, why serikali inamtambua mke mmoja tuu wa kiserikali na mtu mwenye wake wawili kisheria, anatakiwa kumuandika mke mmoja tuu na yule mke mwingine anahesabiwa kama kimada!.
Sheria zetu ziendane na hali halisi za maisha yetu.
Karibuni Burundi, wale wa yale mambo yetu yale!, huku ni mambo ya interlucustrine!, sii mchezo!. Tanzania sirudi!.
Paskali
Hawawezi mdhulumu yule![emoji38] [emoji38] [emoji38] Ukute mjane kadhulumiwa eeeh
Kwa Nini asiende huko Janet Magufuri... Huu ni upendeleo
Akipanga Maulana na iwe
Hadi wewe tozo zimekuathiri kweli?Akipanga Maulana na iwe hivyo.
Tatizo lile wingu likiishazingira mahala, husambaa hadi kwa kizazi kijacho hivyo ni shida sana kwa sasa.Kwanini asingekuwa Janeth kwenye hiyo shughuli?mbona wanamtenga Sana huyu mama?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu, umeleta hii hoja lakini itaonekana ni chonganishi kwa wenyewe wa kule kilimani.Wanabodi,
Baada ya kiongozi fulani kututaka tusioridhika na hali ya nyumbani, tuhamie Burundi, mimi ni mmoja wa walioitika wito huo tumehamia Burundi sasa naishi Bujumbura!
Tangu tumehamia hapa, tumefarijika sana kwa kiongozi wa kitaifa kutoka Tanzania kutembelea Burundi.
Huyu ni Mheshimiwa Salma Kikwete, former 1st Lady na Mbunge wa Bunge la JMT.
Mama Salma yuko hapa Bujumbura kuhudhuria Kongamano la siku 3 la Kimataifa la ma 1st Ladies wa Africa kujadili Afya ya Mama, mtoto na kijana balehe, linalofanyika katika jiji la Bujumbura.
Wanaokuta hapa ni ma 1st lady, nilipojiuliza kwanini Tanzania aje former 1st lady?!, ndipo nikagundua kumbe nchi inapotawaliwa na rais mwanamke, post ya 1st Lady inakuwa haipo!, na kwa vile hii ndio mara ya kwanza kwa Tanzania kuwa na rais mwanamke, the role of 1st gentlemen is not defined!
Kufuatia nchi kutokuwa na 1st lady, mialiko yote ya fast lady sasa inakwenda kwa former 1st lady na kiukweli Salma Kikwete alivyo mtu wa mashamsham, ameuchangamsha sana huu mkutano na amemwaga nondo za kufa mtu!
This is a wake up call kwa serikali yetu kuintroduce post ya 2nd Lady na awe ni mke wa VP na 3rd Lady mke wa PM, ili ikija mialiko ya 1st lady kama hayupo tumpeleke 2nd lady or 3rd lady! Its a loss kwa nchi kutokuwa na 1st lady, na sasa ni muda muafaka the role of 1st Gentleman iwe defined na aanze kuonekanika!
Tena tutengeneze an Africa Protocal of first lady akitokea rais ana wake wawili, wake wote wawili watambuliwe kama 1st lady 1 na 1st lady 2, 3, 4 na kuendelea na sio kumtambua mke mmoja tuu ndie anabeba title ya 1st lady halafu wake wengine wote ni nobodies!, huku ni kuwabagua!
Maadam nchi yetu inatambua ndoa za wake wengi, then akotokea rais mwenye mke zaidi ya mmoja, wake zake wote wawili watambuliwe!
Pale mikocheni kulutokea raia mmoja wa Sweeden tajiri, akiishi Mikocheni B, akachenguka na mwanamke mmoja wa Kizaramo akaoa, baadaye akukutana na Tanga line, akakuta ni zaidi ya Mzaramo, akaoa, akawa na wake wawili. Mke mkubwa akamzalia watoto 4, mke mdogo watoto wawili.
Wakati nikishi Stockholm , Sweden, huyu jirani akaamua kurejea nyumbani Sweden, akabeba wake zake wawili na wanae 6 kurejea kwao. Kufika Airport, akazuiliwa kuingia nchini kwake na wake wawili kwasababu katiba ya Sweden inatambua ndoa ya mke mmoja tu. Hiyo aruhusiwe kuingia Sweden lazima atoe talaka kwa mke mmoja na kudeclare ni mistress, hivyo aliitwa mwanasheria, ikaandikwa talaka, declaration ya mistress ikaandikwa baba akalazimika kumdeclare mke mdogo kimada ndio akaruhusiwa kuingia. Tanzania tuna wake wengi, why serikali inamtambua mke mmoja tuu wa kiserikali na mtu mwenye wake wawili kisheria, anatakiwa kumuandika mke mmoja tuu na yule mke mwingine anahesabiwa kama kimada!.
Sheria zetu ziendane na hali halisi za maisha yetu.
Karibuni Burundi, wale wa yale mambo yetu yale!, huku ni mambo ya interlucustrine!, sii mchezo!. Tanzania sirudi!.
Paskali
Kwani mwenziye kinapanda... Si wote ni former teachers pale Mbuyuni.Kingereza mzee
Hah kwanini?Hadi wewe tozo zimekuathiri kweli?
Kama kulikuwa na ulazima wa mke wa rais Mstaafu basi hata mjane wa JPM alipaswa kuwa ndiye chaguo la kwanza.Wanabodi,

Kashakuwa mburundi muda huu jmn hi inchi kwa uzushi Ni tabu tupuLazima uelewe Salma Kikwete Burundi ni kwao. Chimba Historia
Haina maana hayo makitu tupa kula achia nywelee zakeMke wa Mwinyi havai hijabu?
Nenda kaanzishe laws skull kule Kama hawajakuchinja wale jamaa niite mbwaa [emoji38]Hapana, mimi niko Burundi kuitikia ule wito wa "hamieni Burundi".
P
Anaenda kuanzisha laws skull kuleSasa ukiwa Burundi bado ile makala yako kwa maslahi ya taifa inaendelea au imesita🥱
Mrs Mwinyi ni Kuruta mwenzangu Operation Kambarage Ruvu JKT 1990/91Incoming First Lady 2030 ameanza kufanya kazi vizuri kabisaView attachment 2383498