Tulioitwa Dodoma Kwenye Usahili wa Awali TAKUKURU (PCCB) hebu tujuzane kidogo

Mbna wengine tuliomba hatujaona majina kwani waliangalia nini kwenye kuchagua?
Waliangalia vigezo.kama mfumo ulikuonyesha maombi yamepokelewa ujue ulikidhi vigezo.by the way ni mfumo ndiyo uliofanya selection
 
paper ilikuwa kituko. maswali yalikuwa na multiple choice kwa hesabu ndogondogo za darasa la tano hadi saba hivyohivyo kwa english ya darasa la saba hadi form two n.k, hivyo tunajipa moyo.
 
Vijana mmeenda udom kufanya supp ya anatomy[emoji23][emoji23]
 
Amplitude = Aptitude.

Naimani interview ilikwenda salama. Kila la kheri.
 
Wadau wanasema pepa ilikuwa na maswali hadi ya logarithms aseee wa HKL HGL walikomaje... emu mtuambie aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…