Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaJamaan mkimaliza usaili mtupatie mrejesho tujue ilikuwaje
Katika hiyo fomu, Kwanini Takukuru wanataka hali ya afya ya baba na mama?Je kama wazazi ni wagonjwa wa muda mrefu itasababishwa ukose kazi?ukimaliza kujaza hii taarifa ilete humu ndani tujue taarifa zako pia ,ndio utajua unyeti wa hii Taasisi. View attachment 2061770
Waliangalia vigezo.kama mfumo ulikuonyesha maombi yamepokelewa ujue ulikidhi vigezo.by the way ni mfumo ndiyo uliofanya selectionMbna wengine tuliomba hatujaona majina kwani waliangalia nini kwenye kuchagua?
Umeshapigwa ch.upi chiniMbna wengine tuliomba hatujaona majina kwani waliangalia nini kwenye kuchagua?
Wamedondokewa na kitu kizito utosiniMbona amtupatii mrejesho wa usaili wenu?? Twambieeni bana ilikuwaaje
Duuu, ebu tujuze kidogoWamedondokewa na kitu kizito utosini
[emoji1][emoji1]Vijana mmeenda udom kufanya supp ya anatomy[emoji23][emoji23]
Wenyewe ndo sisiNafasi zina wenyewe.
Ahaaa wakitoa majina waliofuzu pia mtujuzeWenyewe ndo sisi
Ahaaa anatomy and physiology we acha tu mifupa inaboa Yan usnkumbusheVijana mmeenda udom kufanya supp ya anatomy[emoji23][emoji23]
Kwamba walikutana na hosipital bone, pa1 na wakina metaphysisVijana mmeenda udom kufanya supp ya anatomy[emoji23][emoji23]
Amplitude = Aptitude.Habari za wakati ndugu zangu, natumaini mu wazima. Bila kupoteza muda naomba nielekee kwenye hoja ya msingi.
Leo Tume ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) wametoa orodha ya majina ya watu waliofuzu kwenda Dodoma kufanya usahili wa awali wa maandishi (amplitude test) siku ya tarehe 8 January 2022 katika vituko vilivyopangwa kulingana na utaratibu wao.
Nikiwa mmoja wa waliochaguliwa ningependa kupata heads-up, tips, clues na uzoefu kuhusu interview hiyo. Naomba kuwasilisha .