Tuliojilea wenyewe uswahili maisha magumu tukumbushane maisha tuliyopitia

Tuliojilea wenyewe uswahili maisha magumu tukumbushane maisha tuliyopitia

Hongera unawez sema maisha yanawez kuchagua au kuyachagua ,
|•Wazaz wako busy kutafuta ela at the same familia inamahitaji ya msingi ya kiuchumi na kimalez sasa lazm tuu awe mtafutaji either ukizngatia kaz , unichek unakut kaz anayofany ni ya masaa mengi hakun mapumzk kpato kdogo

Hongera umejua mambo mengi na ninachojua Mimi ni vyema watoto tusiwabane sana tuwafungulie Dunia mambo mengi wajajue njaa shida na mazingra magumu mapema kwakuw watajielew mapema au wakipotea wanawez kupotea na kurud.

Nakumbuka mengi nimejifunz kwakuw nmekulia kwa mama WA kambo ni mateso ambayo yamenifany niwez kuwez kijasir dunia hii (Rest in peace [emoji3522] my mom)
 
YANGA BINGWA

Ola Mshukuru Mungu sana haukuwa muumini wa Poda sisi wengine tulisaidiwa na imani za dini Magomeni.

1. Marafiki karibia 50% wala poda na bangi
2. Mashoga kama wote kitaa
3. Malaya kama wote wanaohold nyumba nzima.

Yaani kuna mwana alikuwa na kifafa kile konki kabisa mademu wanamkimbia so alikuwa anachoteshwa maji Nyumba ya wauza mbunye magomeni than wanamlipa mbususu nilimkanya sana ila hakusikia mpaka wazee wake wanakuja kujua ilikuwa too late akayakanyaga miwaya. Ile nyumba ilaaniwe na wale malaya walikuwa wanambadilishia ladha tu mwana za mbunye R.I.P my best Friend
kmme jamaa alikuwa anajiona kama yuko peponi na mabikira 72 elfu anabadilishiwa ladha tu 😂
 
Ukae mwananyamala ujauza poda mkuu upewe maua yako
Mm nimekulia Kino mtambani hapo
Biafra enzi hzo kuna michezo mara bembea magari
Morocco kuendesha baiskeli na viatu vyetu vya matairi kutoka Morocco mpka magomeni dahh cio poa
Ila Kino na mwananyamala watumia poda ushoga bangi ni kugusa

Yule jamaa yangu mla poda alishindwa kunishawishi kula poda ila kwenye kuuzaa alifanikiwa.

Jirani kulikuwa na mtoto mdogo anaye tambaa, huyu mtoto nilimzoea Sana na yeye alinipenda.

Nilikuwa nambeba halafu kwa mbele kwenye nepi yake naweza poda (kete) then nazurura kuuzia mateja.

Nilipiga sanaa pesa za kwendea Shule na kununulia mahitaji.

All in all.
Nyie wazee wa viatu vya matairi mligonga sanaa mademu wa Kinondoni muslimu, Biafra na ile Shule pale victori ya private (nimeisahau jina lake).

#YNWA
 
Kuna jamaa yetu wazazi walitengana, akatoka mkoa kupelekwa dar kwa baba yake na huko akakutana na songombingo za mama wa kambo ndo akajiingiza kwenye hizo group za mwananyamala.

Mother ake aliposikia jamaa kaharibikiwa ikabidi amrudishe mkoa na tukawa wote class moja. Jamaa alikuwa kashaharibiwa na exposure za ngono, akawa na group maalumu bhana la kucheki mikanda ya xxx, mitungo na kujichanganya town.

Ubaya jamaa alikuwa smart sana akitulia kidogo tu class ni top ten straight lakini hata seco hakumaliza maana tayari mtaa ulishamteka. Mother ake kapambana sana lakini ilikuwa too late, jamaa huwa nikimuangalia life analoishi na potential aloyokuwa nayo, roho huwa inaniuma.

Hongera mkuu wa kuokoka na hiyo life, sio rahisi.
Madawa ya kulevya noma.
Nasema hivi kwasababu NIMEUZA.

Ukiingia kwenye kutumia bangi na poda mpaka uje uache ni Mungu mwenyewe akusimamie.

#YNWA
 
Uhuni haujakutoka bado
Yap hili ni kweli.
Hata mkurugenzi wangu siku moja nilikuwa naongea nae akaishia kuniambia " We jamaa una lafudhi ya Dar hasa"
Kuna ile misemo nimeshindwa iacha.
Na hata mavazi yangu ya kazini, mi kuvaa suruali ya kitambaa au kadeti SIWEZI kabisaa mi ni jinzi tuu kwasababu ndio nguo zilizonilea.

#YNWA
 
Kuna visa umeviruka ila kama hukuwa muuza poda au mvuta bangi basi ulikuwa shoga wewe sema unakaza tu.

Yule jamaa yangu mla poda alishindwa kunishawishi kula poda ila kwenye kuuzaa alifanikiwa.

Jirani kulikuwa na mtoto mdogo anaye tambaa, huyu mtoto nilimzoea Sana na yeye alinipenda.

Nilikuwa nambeba halafu kwa mbele kwenye nepi yake naweza poda (kete) then nazurura kuuzia mateja.

Nilipiga sanaa pesa za kwendea Shule na kununulia mahitaji.

#YNWA
 
wale watoto watukutu, tulioogelea mto msimbazi (chemchem kipindi hiko), kwa mjapani magomeni sjui kwa mchina. tulioenda kuiba samaki kwa kibichwa mkate magomeni.
kuokota michele na maharage dampo la msimbazi tujuane. bila kusahau kuvutishwa bangi na wahuni wa beira ili ucheze mpira kwenye uwanja wao wa msako.
 
Yupo wapi siku huyu dogo
 
Mungu alikuwa na kusudi nawe Kama uliweza pita salama.Maana shetani uleta talaka,au uchukua wazazi mapema ili awawini watoto pindi aonapo kipaji Fulani kwa mtoto
 
Hongera mpaka hapo ulipo,
Ila huwa inatokea tu binafsi nimeishi sana na wavutaji na mpaka Leo marafiki zangu wawili wa karibu ni wavutaji ila wanashangaa mm sikuwah kuvuta Toka tupo shule!
Uaskari wao unawasaidia tu ila ni washezi wa tabia na hawataki kuoa miaka 40+
Mmoja anawatoto wanne Kila mmoja ana mama yake!
 
wale watoto watukutu, tulioogelea mto msimbazi (chemchem kipindi hiko), kwa mjapani magomeni sjui kwa mchina. tulioenda kuiba samaki kwa kibichwa mkate magomeni.
kuokota michele na maharage dampo la msimbazi tujuane. bila kusahau kuvutishwa bangi na wahuni wa beira ili ucheze mpira kwenye uwanja wao wa msako.
Wewe haiitwi bangi wanaita dawa ya misuli
 
Maisha ya uswahilini na ya kota ni matamu sana hasa enzi zile za kombolela unajibutulia tu
 
Back
Top Bottom