JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Nilianza kujenga roho ya kujitegemea mwenyewe nikiwa darasa LA pili,miaka 7,
Baba kasafiri kwenye mishe zake,Mama yupo masomoni, tukaachwa na shangazi binti wa miaka 17! Pesa, za, matumizi akazitumbua na vidume mtaani,kula yetu ikawa, ya shida,
Wiki nzima hakuna chai asubuhi, harafu inabidi niende shule asubuhi, natembea kuanzia liverside Dar mpaka external! Nauli, Sina, hela, ya kula Sina,
Nafika shule njaa, inagonga balaa!! Kuomba omba sitaki,
Nakumbuka nikaokota shilingi tano!nikaenda kununua chapatti za maji na ice cream! Nikapiga!
Nikajifunza kucheza kamari, sago, nk.