Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
- #41
Hili ndilo nililiikataa kipindi kile.Mungu alikuwa na kusudi nawe Kama uliweza pita salama.Maana shetani uleta talaka,au uchukua wazazi mapema ili awawini watoto pindi aonapo kipaji Fulani kwa mtoto
Mungu alichukua wazazi wangu wote na kuniacha niishi kwa shida nikipitia masimango ya ndugu.
Na huku upande wa pili Nina mshkaji wangu mpaka leo wazazi wake wapo.
Yaani walimsomesha na kuntunza.
Sasa hivi jamaa angu anakazi safi serikalini akilea wazazi wake.
Kwanini Mungu alichukua wazazi wangu wote? Angeacha hata mmoja basi.
#YNWA