Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
kuna mambo hakuna kukata tamaaKuna mambo kweli ni ya kupambana nayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna mambo hakuna kukata tamaaKuna mambo kweli ni ya kupambana nayo.
Utavumilia nikikutajia?msisahau kutaja na id zenu zingine kumi kumi.
Itabidi uzitaje zoteSasa mkuu umeniacha njia panda kidogo.
Je wale tunaotumia Id zaidi ya moja...unakuta unayo ya 2009 2010 2013 2016!
Au mtatuhesabu kwa ambayo tumechangia nayo hapa?
Kuna mambo lazima ayavumilie tu...Kuna mambo yameshamchukiza.
Nahisi kuna mgao wa tuzoMkutane hapa,then what??
Kuna mambo sio lazima yatajwe unajiongeza tu.Itabidi uzitaje zote
Hongera sana.Tupo, 2008, na tulikuwa nayo toka ikiwa na lile jina lingine
itavumilika tuUtavumilia nikikutajia?
Kuna mambo sio lazima yatajwe unajiongeza tu.
Msije anza kulia bure tukapata kazi ya kubembeleza.itavumilika tu
Kuna mambo lazima ayavumilie tu...
Kuna mambo sio lazima ushadadieKuna mambo sio lazima ubalance[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna mambo hayahitaji kuwasumbua majirani...Kuna mambo akijiongeza ataamsha waliolala.
Ahsante, AgataHongera sana.
kuna mambo ukiyajua na machozi huwa yanakauka yenyewe.Msije anza kulia bure tukapata kazi ya kubembeleza.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna mambo sio lazima ushadadie
Kuna nyuzi sio lazima uingie ukiniona unaenda jukwaa lingine.Kuna mambo sio lazima ushadadie
Kuna majibu huwa hayaridhishi kama hili.kuna mambo ukiyajua na machozi huwa yanakauka yenyewe.