Tuliojiunga jf kuanzia 2009- 2015 na mpaka sasa hatujabadili i'd tukutane

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu shem darling nakuona leo muhandsome kwa avatar nahisi ni hizi heineken ninazokunywa
Kuna wakati ukiwa kwenye mood fulani lazima uone maruweruwe/mazigazi kwa kila kitu kilichopo mbele yako.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Elli since March 2008
Kuna watu humu Hawajui hata Internet ni nini miaka hio! Nina miaka kumi na miezi nane sasa! Long Live JF.

My biggest achievement, kwa Msaada wa JF admin na members Tuli-organize Safari ya kutembelea wagonjwa pale Ocean Road. It was fantastic.
 
It was FANTASTIC kutembelea wagonjwa?

We jamaa bwana!
 
Elli since March 2008
Kuna watu humu Hawajui hata Internet ni nini miaka hio! Nina miaka kumi na miezi nane sasa! Long Live JF.

My biggest achievement, kwa Msaada wa JF admin na members Tuli-organize Safari ya kutembelea wagonjwa pale Ocean Road. It was fantastic.
Hongera sana
 
Back
Top Bottom