Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Huu ndiyo ukweli mchungu, wale waliojiongeza kwenda kusomea ualimu daraja la 111A, unesi na ukunga pamoja na fani zingine zikiwemo upolisi kimtindo mikeka yao imetiki means walichukua kidogo ila Cha kuwafaa.
Wanangu wengine waligoma kukeshout mikeka yao wakala shule mpaka chuo kikuu mwisho wa siku timu zimechana mwishoni. No job, no job, no job.
Makamu wa Rais anataka utafiti kwanini hakuna ajira ilihali uchumi wameua tena kwa spidi kali. Life limekuwa kituko na hakuna tena promise.
Imagine kwa Sasa ile sababu tuliyokuwa tunaandika kwenye Geography ya factor for poverty kuwa ni lack of skilled labours, inaonekana ni uongo na utapeli tulifanyiwa.
Leo watalamu kibaoo ila maisha ndiyo magumu zaidi. Poor my country.