Tuliokurupukia kuanzisha biashara baadaye tukajua hatujui tukutane hapa

Umenikumbusha kipindi Corona inaingia wakawa wanasema watu wengi watakufa
Mwanaume nikaingia bank kukopa kama 7m hivi ili nipanue mradi wangu wa majeneza nikiamini ndo mwaka wangu wa kutoboa lakini cha ajabu mambo yakaenda tofauti mpaka ikafikia nakosa hata hela ya marejesho!
Kuna jamaangu ana gereji yake Dar akanishauri nichukue mzigo wa majeneza kiasi nikaweke branch Dar maana hapa Dom biashara iligoma kabisa ikabidi huyo rafiki yangu anitafutie eneo zuri Dar nikapeleka mzigo wa majeneza kama pc 250 hivi lakini huko ndo hali iligoma sana kiasi kwamba lile eneo nilipokuwa misiba mingi ni waislamu hawatumii majeneza yaani ilikuwa mpaka namaliza week nimeuza jeneza moja wakati mwingine namaliza week bila kuuza ikabidi nifunge maana hata hela ya kulipia eneo nilishindwa kulipa ikabidi nirudi Dom kuendelea na kijiwe changu cha huko.
Yaani kifupi nililazimika kuuza kagari kangu( kama ka Mr Bean) ili nipunguze deni la mkopo sintosahau mpaka nazeeka
Hii Kali asee ,[emoji23][emoji1787]
 
Yaani wewe hata sikuhurumii aisee. Afadhali tu yaani hali ilikuwa kama ilivyokuwa kha!

Halafu unavyosimulia masikini. Kama nakuona usiku umelala unawaza mbona watu hawafi? Hii Korona vipi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Babu nimecheka had

Mbayaaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]HV mkuu ulikuwa seriuos au chai hii
 
Tujitahidini kuna biashara usiwekeze pesa yote hapo(usitie mayai kwenye kapu moja)

Kama una 10M ebu fanyia bishara 7M hizo 3 zibaki kama kilinda account,usitumie peda yote.

Inaweza tokea mchongo ama dili la 2M kisha unapata fida ya 5M.

Usitumie pesa zote kuanzisha biqshara,bakiza kiliwaza nafsi kidg
 
Daaah hatari Sana , Mwamba Baada ya kumaliza chuo ,mambo hayakuenda Viral kama nilivyotegemea , nikiwa sina hili wala lile , mara paap nikapata hot news toka kwa Wana , wakanitonya kuwa biashara ya kukausha samaki aina ya furu imeburst na inalipa kinoma ... samaki hawa watu wa kanda ya ziwa wanawaelewa , samaki hukaushwa kwenye mchanga wa ufukwe mwambao wa ziwa, baada ya kukaushwa husafrishwa kuuzwa na soko kuu ni nyanda za juu kusini , hasa Tunduma mpak nchi ya Zambia ,

Mhuni nikajichanga , nikachumpa maeneo ya Fukwe za Kayenze Mkoani Mwanza , nikiwa na matumaini lukuki...!!

Asikwambie mtu maisha ya ziwani ni tough na ya kuogofya, mostly watu wanaishi in a deadliest way , magonjwa kama Amiba, Typhoid , Malaria , na magonjwa yote yanayosababishwa na ngono zembe pamoja na ushirikina wa kutosha ziwani ndo mahali pake...

Aisee katika hii biashara nilikula vitasa vya uso mpak sio poa , baada ya miezi mitatu ya hasara niliamua kutimua...!!
 
Umenikumbusha kipindi Corona inaingia wakawa wanasema watu wengi watakufa
Mwanaume nikaingia bank kukopa kama 7m hivi ili nipanue mradi wangu wa majeneza nikiamini ndo mwaka wangu wa kutoboa lakini cha ajabu mambo yakaenda tofauti mpaka ikafikia nakosa hata hela ya marejesho!
Kuna jamaangu ana gereji yake Dar akanishauri nichukue mzigo wa majeneza kiasi nikaweke branch Dar maana hapa Dom biashara iligoma kabisa ikabidi huyo rafiki yangu anitafutie eneo zuri Dar nikapeleka mzigo wa majeneza kama pc 250 hivi lakini huko ndo hali iligoma sana kiasi kwamba lile eneo nilipokuwa misiba mingi ni waislamu hawatumii majeneza yaani ilikuwa mpaka namaliza week nimeuza jeneza moja wakati mwingine namaliza week bila kuuza ikabidi nifunge maana hata hela ya kulipia eneo nilishindwa kulipa ikabidi nirudi Dom kuendelea na kijiwe changu cha huko.
Yaani kifupi nililazimika kuuza kagari kangu( kama ka Mr Bean) ili nipunguze deni la mkopo sintosahau mpaka nazeeka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbwa dume unazngua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sasa si bora wewe umepata hasara ya 60,000 mzee

Kuna muda michongo inakugomea kila uki force chenga tu unajikuta unazidi kupoteza pesa zako kwa ile dhana ya kusema "biashara ni uvumilivu" siku unakuja kustuka tayari ume damage pesa nyingi na huwezi kuzi recover kwa muda mfupi

Huwa nasemaga siku zote attempt ya kuanza biashara kwasababu umemuona mtu fulani aliyefanya hiyo kazi imemfaidisha inakuwa ni stupid risk

Ndo mwisho wa siku watu wanapokuja kufeli kwenye biashara walizoiga kutokana na mafanikio waliyoyaona kwa mtu anayefanya hiyo kazi wanaanza kuitana fulani anatumia dawa kwenye biashara yake kwasababu yeye anafanya na hapati faida ambayo alikuwa akiifikiria
Nakazia kwa kimombo inaitwa "Sunken Ship Fallacy"
 
Umenikumbusha kipindi Corona inaingia wakawa wanasema watu wengi watakufa
Mwanaume nikaingia bank kukopa kama 7m hivi ili nipanue mradi wangu wa majeneza nikiamini ndo mwaka wangu wa kutoboa lakini cha ajabu mambo yakaenda tofauti mpaka ikafikia nakosa hata hela ya marejesho!
Kuna jamaangu ana gereji yake Dar akanishauri nichukue mzigo wa majeneza kiasi nikaweke branch Dar maana hapa Dom biashara iligoma kabisa ikabidi huyo rafiki yangu anitafutie eneo zuri Dar nikapeleka mzigo wa majeneza kama pc 250 hivi lakini huko ndo hali iligoma sana kiasi kwamba lile eneo nilipokuwa misiba mingi ni waislamu hawatumii majeneza yaani ilikuwa mpaka namaliza week nimeuza jeneza moja wakati mwingine namaliza week bila kuuza ikabidi nifunge maana hata hela ya kulipia eneo nilishindwa kulipa ikabidi nirudi Dom kuendelea na kijiwe changu cha huko.
Yaani kifupi nililazimika kuuza kagari kangu( kama ka Mr Bean) ili nipunguze deni la mkopo sintosahau mpaka nazeeka
Sasa zile mJeneza 250 ulitumia muda gani had kuja kuisha zote mnk Sasa uliingiliwa haswaa
 
Mkuu, mimi naona saizi una A,B,C za hii biashara. Ukirudi tena utafanikiwa tu!
 
Unapata hasara 60000 Af unarudi nyuma bro, kipindi fulani tulipakia mkaa kwa kibali kilichokuwa kimeisha muda mkaa ukakamatwa na mali asili , tukapelekwa polisi kwanza ,wale vijana niliokuwa nao wakatandikwa za kutosha Mimi mtoa noti nikawekwa pembeni baadae wakaniambia bila laki nane hatuachii gari hapo nna 130000 tu ikabidi kupigia wauzaji town wantumie hela niwaletee mzigo bahati sifa nzuri ya uaminifu nilishajenga kwaio wakatuma hela , nakumbuka hiyo trip ilinikata sana mtaji. Sikurudia tena kosa lile la kutaka kujikuta mjanja huku narisk mtaji wangu
 
🤣🤣🤣🤣
 
Yaani wewe hata sikuhurumii aisee. Afadhali tu yaani hali ilikuwa kama ilivyokuwa kha!

Halafu unavyosimulia masikini. Kama nakuona usiku umelala unawaza mbona watu hawafi? Hii Korona vipi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom