Royal Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 909
- 1,717
Habari wakuu sisi tunaependa kunywa Vyombo kwenye hivi vi Grocery,Pub au Bar za mtaani kuna muda huwa tunajifunza mengi sana juzi nilika mtaani na machalii wakasema tukale vyombo tukaenda wakasema wanataka Valeur mimi nikapiga Castle Lite mbili na wao wakapiga Valeur Mbili hao Wahudumu wakanywa Soda mbili Valeur wanauza 3,000/= Beer 2,000/= soda ni 700/= angalia Bill niliyoandikiwa hapo Tanzania kuhusu Elimu bado tuna safari ndefu hawa wahudumu wana kama 26 hivi ikabidi nimpe 15,000/=