Tuliokutana na Vituko Grocery au Pub au Bar za Mtaani tukutane hapa

MOSHI NILIKOMA
NILIJAA KWA MDADA WA PUB NKAMPA BIA 2 NKASHANGAA KAJA NA SAFARI ZINEFUNGULIWA ANAMALIZA HARAKA KULIKO NILIWMNUNULIA

MH NKAJIULIZA .GAFLA NKAMWAGIZIA MOJA AKASEMA NIONGEZE MOJA NKAMWAMBIA HAINAA SHIDA

MALIZA KWANZA HII.. NILISHAMHAIDI BK 5 NKAMPA KUMI KAOMBE CHENJI

AKAONDOKA NKAMIMINA ILE BIA ANAYOJIFAnyA KUNYWA NKAKUTA MAJI MATUPU

SIKUMJIBU AKANIPA BK 5 YANGU NKAMWAMBIA HAYO MAJI UTALIPA WEWE SINCE VIHEREHERE NA MADADA WA PUB SINA
Alikuona fala.
 
Habari wakuu sisi tunaependa kunywa Vyombo kwenye hivi vi Grocery,Pub au Bar za mtaani kuna muda huwa tunajifunza mengi sana juzi nilika mtaani na machalii wakasema tukale vyombo tukaenda wakasema wanataka Valeur mimi nikapiga Castle Lite mbili na wao wakapiga Valeur Mbili hao Wahudumu wakanywa Soda mbili Valeur wanauza 3,000/= Beer 2,000/= soda ni 700/= angalia Bill niliyoandikiwa hapo Tanzania kuhusu Elimu bado tuna safari ndefu hawa wahudumu wana kama 26 hivi ikabidi nimpe 15,000/=
Sawa
 
Nirekebishe man, inaandikwaje? Twende kazi 😀 😀
Screenshot_20240710-210934.png

Kapatia
 
Habari wakuu sisi tunaependa kunywa Vyombo kwenye hivi vi Grocery,Pub au Bar za mtaani kuna muda huwa tunajifunza mengi sana juzi nilika mtaani na machalii wakasema tukale vyombo tukaenda wakasema wanataka Valeur mimi nikapiga Castle Lite mbili na wao wakapiga Valeur Mbili hao Wahudumu wakanywa Soda mbili Valeur wanauza 3,000/= Beer 2,000/= soda ni 700/= angalia Bill niliyoandikiwa hapo Tanzania kuhusu Elimu bado tuna safari ndefu hawa wahudumu wana kama 26 hivi ikabidi nimpe 15,000/=
Na ndio hali ya watanzania wengi ilivyo huyo hawezi kutaka kupigania haki zake hata siku moja..
 
Habari wakuu sisi tunaependa kunywa Vyombo kwenye hivi vi Grocery,Pub au Bar za mtaani kuna muda huwa tunajifunza mengi sana juzi nilika mtaani na machalii wakasema tukale vyombo tukaenda wakasema wanataka Valeur mimi nikapiga Castle Lite mbili na wao wakapiga Valeur Mbili hao Wahudumu wakanywa Soda mbili Valeur wanauza 3,000/= Beer 2,000/= soda ni 700/= angalia Bill niliyoandikiwa hapo Tanzania kuhusu Elimu bado tuna safari ndefu hawa wahudumu wana kama 26 hivi ikabidi nimpe 15,000/=
Mkuu niliwahi kuwa na demu mmoja alikua hajui kuandika vizuri kama dizaini hiyo lakini kichwani alikua very very smart, itoshe tu kusema alikua na ufahamu mkubwa sana hadi nikawa namshangaa tu
Kama ingekua bado sijajikomiti kwa shemeji yenu ningemuoa aisee
Na hakika aliye muoa atakua kapata mke mzuri sana
 
Halafu unakuta aliyemuoa naye ni chenga
 
Jamani hawa vijana wanajaribu kutoka,imagine mtu katokea huko mdabulo,au ifwagi huko hata bia zenyewe hazijui unategemea nini kitaendelea.Wacha wapambane mpaka mwanga upatikane
Unawadharau sanaa wahehe wa Mufindi...!!!

#YNWA
 
Majina ya vinywaji huandika: Kesto (Castle), kevati (K-Vant), kili, valuu(Valeur), buli(Red Bull), santana(Saint Anna), laiti(Lite), nk. Sijui ukiagiza 'Smirnoff' ataandikaje..!
Siminofu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MOSHI NILIKOMA
NILIJAA KWA MDADA WA PUB NKAMPA BIA 2 NKASHANGAA KAJA NA SAFARI ZINEFUNGULIWA ANAMALIZA HARAKA KULIKO NILIWMNUNULIA

MH NKAJIULIZA .GAFLA NKAMWAGIZIA MOJA AKASEMA NIONGEZE MOJA NKAMWAMBIA HAINAA SHIDA

MALIZA KWANZA HII.. NILISHAMHAIDI BK 5 NKAMPA KUMI KAOMBE CHENJI

AKAONDOKA NKAMIMINA ILE BIA ANAYOJIFAnyA KUNYWA NKAKUTA MAJI MATUPU

SIKUMJIBU AKANIPA BK 5 YANGU NKAMWAMBIA HAYO MAJI UTALIPA WEWE SINCE VIHEREHERE NA MADADA WA PUB SINA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
shida moja tu mfano pub za tankibovu kushuka top garage mpaka rainbow nyingi zimeanza kujaa mashogaaaa inabidi ujibanze za uswahilini tu
Hivi ni kweli Mashoga wanakuaga huko Pub? Bar? Club? Naona mnawasingizia nyie hapa, ungesema kwenye shughuri au vigodoro hapo sawaa!!
 
Back
Top Bottom