Tuliokutana na Vituko Grocery au Pub au Bar za Mtaani tukutane hapa

usiombe kukutana na ccm wakicheza mapiano juu ya meza
 
Niko mbeya jijini hapa,nimeamua kuwa pembeni ya mji hapa iyunga,nikaenda kupata lunch pub moja ya kitmotoz,nikiwa nakula kaja mdada mama Fulani hivi,mbele yake kuna msela pembeni kabisa Niko mimi,nikaona anahangaika hakuna anaemjali akaamua kuweka kidole gumba katikati ya vidole kwa mkono wa kushoto huku mkono wa kulia akiwa anakula,Ile ishara watu wa communication tunajua anataka dudu,imagine saa saba upwilu umemkamata mama na gauni lake la kitenge,Kazi itafanyika saa ngapi,nimemwacha hapo mimi nikaendelea na ratiba ya siku.Tulieni wakati wa bwana utafika.
 
Mwaisa umeshindwa kutuwakilisha vyema
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…