Tuliokutana na Vituko Grocery au Pub au Bar za Mtaani tukutane hapa

Alikuona fala.
 
Sawa
 
Na ndio hali ya watanzania wengi ilivyo huyo hawezi kutaka kupigania haki zake hata siku moja..
 
Mkuu niliwahi kuwa na demu mmoja alikua hajui kuandika vizuri kama dizaini hiyo lakini kichwani alikua very very smart, itoshe tu kusema alikua na ufahamu mkubwa sana hadi nikawa namshangaa tu
Kama ingekua bado sijajikomiti kwa shemeji yenu ningemuoa aisee
Na hakika aliye muoa atakua kapata mke mzuri sana
 
Halafu unakuta aliyemuoa naye ni chenga
 
Jamani hawa vijana wanajaribu kutoka,imagine mtu katokea huko mdabulo,au ifwagi huko hata bia zenyewe hazijui unategemea nini kitaendelea.Wacha wapambane mpaka mwanga upatikane
Unawadharau sanaa wahehe wa Mufindi...!!!

#YNWA
 
Majina ya vinywaji huandika: Kesto (Castle), kevati (K-Vant), kili, valuu(Valeur), buli(Red Bull), santana(Saint Anna), laiti(Lite), nk. Sijui ukiagiza 'Smirnoff' ataandikaje..!
Siminofu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
shida moja tu mfano pub za tankibovu kushuka top garage mpaka rainbow nyingi zimeanza kujaa mashogaaaa inabidi ujibanze za uswahilini tu
Hivi ni kweli Mashoga wanakuaga huko Pub? Bar? Club? Naona mnawasingizia nyie hapa, ungesema kwenye shughuri au vigodoro hapo sawaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…