GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Leo ndiyo nimeamini Wanadamu wanaweza Kukuchukia kwa kila namna na hata Kukuombea Ufe kabisa au Maisha yako yawe Magumu kama yao ( waliyonayo ) ila Mwenyezi Mungu na Malaika wake wakisema HAPANA basi jua ni HAPANA Kweli.
Mwenye ule Wimbo niupendao ( jina nimesahau ) wa Zablon Singers aniwekee tafadhali ili GENTAMIYCINE niusikilize pamoja na Mtani wangu wa Kinyiramba Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Lameck Nchemba.
Nuneni ila jueni hatumbuliwi ng'o!!!!!