GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tanzania hata iweje Mtu wa Dhehebu siyo la Katolilki hawezi kuwa Rais wa Tanzania.Komredi mwigulu ni gwiji wa siasa, ukimbandua utajuta, ni lazima utamrudisha tu, kwanza ni rais ajaye anayependekezwa
ni suala la muda tu, zitakuja nyakati itahojiwa kwa nini ni wakatoliki na waislam tu ndiyo hupewa uongozi wa nchi hii kana kwamba ni wao tu ndiyo waliopo na wenye akili kuliko wengineTanzania hata iweje Mtu wa Dhehebu siyo la Katolilki hawezi kuwa Rais wa Tanzania.
Sitaki Swali kwanini sawa?
Leo ndiyo nimeamini Wanadamu wanaweza Kukuchukia kwa kila namna na hata Kukuombea Ufe kabisa au Maisha yako yawe Magumu kama yao ( waliyonayo ) ila Mwenyezi Mungu na Malaika wake wakisema HAPANA basi jua ni HAPANA Kweli.
Mwenye ule Wimbo niupendao ( jina nimesahau ) wa Zablon Singers aniwekee tafadhali ili GENTAMIYCINE niusikilize pamoja na Mtani wangu wa Kinyiramba Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Lameck Nchemba.
Nuneni ila jueni hatumbuliwi ng'o!!!!!
Komredi mwigulu ni gwiji wa siasa, ukimbandua utajuta, ni lazima utamrudisha tu, kwanza ni rais ajaye anayependekezwa
Leo ndiyo nimeamini Wanadamu wanaweza Kukuchukia kwa kila namna na hata Kukuombea Ufe kabisa au Maisha yako yawe Magumu kama yao ( waliyonayo ) ila Mwenyezi Mungu na Malaika wake wakisema HAPANA basi jua ni HAPANA Kweli.
Mwenye ule Wimbo niupendao ( jina nimesahau ) wa Zablon Singers aniwekee tafadhali ili GENTAMIYCINE niusikilize pamoja na Mtani wangu wa Kinyiramba Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Lameck Nchemba.
Nuneni ila jueni hatumbuliwi ng'o!!!!!
Ajaye hatokuwa catolicano Wala Islamino. Mwigu ni kilaza.Tanzania hata iweje Mtu wa Dhehebu siyo la Katolilki hawezi kuwa Rais wa Tanzania.
Sitaki Swali kwanini sawa?
Ajaye hatokuwa catolicano Wala Islamino. Mwigu ni kilaza.
Tunza hii.
Tusubirie na wapagani
Hata ukimpigia promo haiondoi ukweli kwamba yeye ndio mtuhumiwa namba Moja kwenye Riport ya CAG,
Kwhyumetudhihirishia mahaba ya kipopoma tu
Endelea kuimba mapambio Ili upate buku 7 Yako,ndio kazi unayokalia mjini hiyo.Jifunze kuandika kwanza si debate na darasa la saba mimi
TUsimhusishe Mungu na mambo ya hovyo kama haya.Mungu akipanga Hakuna mwanadamu anayeweza kushindana na Mungu MUNGU WETU ANASIKIA MWIGULU ATAKUJA KUWA RAIS WA NCHI HII
TUsimhusishe Mungu na mambo ya hovyo kama haya.
Umesahau kuwa imeandikwa,Mungu umesema au sio
Rais wa wezi na kamati ya Roho mbaya labda.Mungu akipanga Hakuna mwanadamu anayeweza kushindana na Mungu MUNGU WETU ANASIKIA MWIGULU ATAKUJA KUWA RAIS WA NCHI HII