Tuliokwama Kimara Mwisho kwenye foleni muda huu tujuane

Tuliokwama Kimara Mwisho kwenye foleni muda huu tujuane

Kuna Lori la mafuta limeziba njia tuna saa mbili sasa na hakuna dalili za kuliondoa.
Kimara sehemu gani?
Huu uwongo wa kuandika face book au jf kwamba Kuna foleni mahali ili waif aisome kwenye mitandao ilhali mwandishi Yuko nyumba ndogo imekithiri siku hizi.
Be specific, lorry limeziba njia Kimara ipi?
Kimara inaanzia Kona Hadi Suka.
 
Aiseeh poleni, hapo kama kuna namna ya kuingia service road fanya hivyo uingie ndanindani utokelezee mbezi mwisho laa sivyo Eid itakukuta hapohapo.
asante sana, kwa kutokea korogwe kwenda kimara ukishapita kituo cha mwendo kasi tu hakuna njia ya mkato. na mimi ndo nilipokwama.
 
Kimara sehemu gani?
Huu uwongo wa kuandika face book au jf kwamba Kuna foleni mahali ili waif aisome kwenye mitandao ilhali mwandishi Yuko nyumba ndogo imekithiri siku hizi.
Be specific, lorry limeziba njia Kimara ipi?
Kimara inaanzia Kona Hadi Suka.
oya endelea kulinda sungusungu kama unausingizi kalale. sasa kama hufahamu povu la nn.
 
nimepata msaada kuna wadau wanapita na mbao unawachangia buku 2 unavusha gari kuingia mwendokasi then unarudi korogwe alaf unapita no entry. ili uelekee mbezi.
waliobaki kwenye foleni wataswali eid barabarani.
 
Why uje kulalama humu kabla ya wewe na waathirika wengine kufika hapo kwenye lorry na kulisukuma pembeni ili hata line moja ifunguke?,na usione hilo lorry lilikua kwenye fast line!,ilitakiwa all heavy trucks kuanzia pale ubungo hadi mbezi mwisho zitumie slow line
 
mkuu unafaham ajali. gari imehama kutoka upande wa pili imepanda blocks imekuja upande mwingine. cabin inachungulia bonde, teler ina tank inasukumaje.
 
Mi km ningekua na uwezo ningefuta sound R kwenye kiswahili, ni usumbufu tu.

Nikisema bahari na bahali, mwalimu au mwaribu sauti ni zile zile tu. Kusumbuana
Matatizo Yako ya kuchanganya L na R usiyafanye yawe ni matatizo ya lugha ya Kiswahili. Huna akili ndio mana huwezi kutofautisha sauti ya L na R.
 
Back
Top Bottom