Tuliokwama Kimara Mwisho kwenye foleni muda huu tujuane

Tuliokwama Kimara Mwisho kwenye foleni muda huu tujuane

dah kongole kwako, me nlinasa eneo la tukio hata kurudi nyuma ilikuwa ngumu.
Pole sana mkuu,huwa napenda sana kutanua ikifika nyakati ambazo hakieleweki,niliona baadhi ya gari nyingi zinarudi zikitokea upande wa kanisa ka korogwe kuja bucha,nikashutuka nikaamua nichukue hatua mapema
 
mkuu unafaham ajali. gari imehama kutoka upande wa pili imepanda blocks imekuja upande mwingine. cabin inachungulia bonde, teler ina tank inasukumaje.
Na imechukua 4 hrs kwa break down kuwasili eneo la tukio!,mbombo ipo..Tanzania yangu bado sana na tufanyeni kazi kwa smart not harder
 
Back
Top Bottom