Mjinga ni yule anayetaka kuvuruga amani tukose kuuza mazao yetu.Jitambue fanya kazi ACHA ujingaAcha propaganda za kijinga
well done gentleman 👊Baada ya kugundua na kujitambua nikaelewa kuwa nilikuwa napoteza muda kuilaumu serikali.
Takribani miaka 11 Sasa tangu nilipohitimu elimu yangu ya chuo kikuuu sijabahatika kupata ajira rasmi zaidi ya harakati zangu binafsi ili mkono uende kinywani.
Nililima na Sasa nimevuna mpunga wangu,bei ya gunia imefikia 130,000/= sokoni.
Nawashangaa sana vijana ambao bado wanashadadia habari za kuvuruga amani Kwa kisingizio Cha maandamano.Ndugu zangu bila kujituma katika kazi hakuna unachoweza kufanya kwenye maisha.
Tufanyeni kazi,tuacheni kulialia na serikali wakati sisi wenyewe hatufanyi chochote.Kila kukicha ni kijiweni kumlaumu Samia,Abdul,Mwigulu,Msigwa,Katambi,Yaani Kwa sababu ya ubovu wa kichwa chako Kila mtu unamuona mbaya.FANYA KAZI RAFIKI.
Hapa makibo ekari ya mpunga unakodi Kwa 50k una uhakika wa kivuna kuanzia gunia 12 Kwa msimu wa changamoto,halafu unamlilia Abdul....?? hebu jaribu basi hata ekari 3 tu ndo uendelee na lawama Sasa.
Huwezi kumyang'anya aliyepewa. Fanyeni kazi. Degree yangu inashindaga mbugani ya kwako kwenye kahawa,matokeo ninavuna wewe matokeo unataka Abdul akupatie gari yake POLE.
Shauri yakoMjinga ni yule anayetaka kuvuruga amani tukose kuuza mazao yetu.Jitambue fanya kazi ACHA ujinga
Hakuna Cha shauri,fanya kazi na washauri na uwajenge wengine katika kufanya kazi.Maandamano hayawezi kutupa fursa yoyote.Shauri yako
Mkuu hongera kukodi ekari kwa 50k,sisi huku ekari mbili ni 1-1.5m kukodi, gharama za kulima ni kama 1mBaada ya kugundua na kujitambua nikaelewa kuwa nilikuwa napoteza muda kuilaumu serikali.
Takribani miaka 11 Sasa tangu nilipohitimu elimu yangu ya chuo kikuuu sijabahatika kupata ajira rasmi zaidi ya harakati zangu binafsi ili mkono uende kinywani.
Nililima na Sasa nimevuna mpunga wangu,bei ya gunia imefikia 130,000/= sokoni.
Nawashangaa sana vijana ambao bado wanashadadia habari za kuvuruga amani Kwa kisingizio Cha maandamano.Ndugu zangu bila kujituma katika kazi hakuna unachoweza kufanya kwenye maisha.
Tufanyeni kazi,tuacheni kulialia na serikali wakati sisi wenyewe hatufanyi chochote.Kila kukicha ni kijiweni kumlaumu Samia,Abdul,Mwigulu,Msigwa,Katambi,Yaani Kwa sababu ya ubovu wa kichwa chako Kila mtu unamuona mbaya.FANYA KAZI RAFIKI.
Hapa makibo ekari ya mpunga unakodi Kwa 50k una uhakika wa kivuna kuanzia gunia 12 Kwa msimu wa changamoto,halafu unamlilia Abdul....?? hebu jaribu basi hata ekari 3 tu ndo uendelee na lawama Sasa.
Huwezi kumyang'anya aliyepewa. Fanyeni kazi. Degree yangu inashindaga mbugani ya kwako kwenye kahawa,matokeo ninavuna wewe matokeo unataka Abdul akupatie gari yake POLE.
Weka vizuri, jumla ulitumia kiasi gani na umepata kiasi gani, ndani ya muda gani.Baada ya kugundua na kujitambua nikaelewa kuwa nilikuwa napoteza muda kuilaumu serikali.
Takribani miaka 11 Sasa tangu nilipohitimu elimu yangu ya chuo kikuuu sijabahatika kupata ajira rasmi zaidi ya harakati zangu binafsi ili mkono uende kinywani.
Nililima na Sasa nimevuna mpunga wangu,bei ya gunia imefikia 130,000/= sokoni.
Wewe unavyoona kalima huyo?Weka vizuri, jumla ulitumia kiasi gani na umepata kiasi gani, ndani ya muda gani.
Safi sana Mkuu,huko ni wapi? haya ndiyo mambo Sasa.Sisi huku usukumani bado tuko local zaidi kulingana na nyezo pamoja na uhakika wa maji Kwa msimu. Ndiyo maana hata gharama zake ni mdogo,lakini pia outcome ni mdogo kulingana na infrastructure.Pamoja na hayo tunamshukru Mungu si haba kuliko kusubiri ajira na kushawishiana kuandamana.Mkuu hongera kukodi ekari kwa 50k,sisi huku ekari mbili ni 1-1.5m kukodi, gharama za kulima ni kama 1m
Ekari moja tunatoa gunia 40,tunalima mbegu saro 5,tunamwaga kwenye kitalu,tunapandikiza kwa mistari,Asante jakaya na kilimo kwanza,elimu,pembejeo,masoko
TaboraSafi sana Mkuu,huko ni wapi? haya ndiyo mambo Sasa.Sisi huku usukumani bado tuko local zaidi kulingana na nyezo pamoja na uhakika wa maji Kwa msimu. Ndiyo maana hata gharama zake ni mdogo,lakini pia outcome ni mdogo kulingana na infrastructure.Pamoja na hayo tunamshukru Mungu si haba kuliko kusubiri ajira na kushawishiana kuandamana.
Kwani sabasaba itadumu miezi?..suala ni mvua hazikua nzuri msimu huu,nahisi hao ni wakenya wananunua kwa wingi muda wa mavuno wakiamini baadae utapandaKweli saba saba ni kiboko. Mpaka matapeli wampunga wameingia kwenye mtego.
Njoo hapa Makibo Sikonge nikupe gunia la bure watoto wako waende chooni.Acha kukariri mambo.Wewe unavyoona kalima huyo?
Wapi hapa nchini gunia la mpunga 130,000?
Unahangaika na mtu anayewaza kupinga Kila kitu badala ya fursa.Haelewi mwaka jana gunia lilifika 150kKwani sabasaba itadumu miezi?..suala ni mvua hazikua nzuri msimu huu,nahisi hao ni wakenya wananunua kwa wingi muda wa mavuno wakiamini baadae utapanda
Kwa kuwa na wewe ni mkulima mwenzagu,weka unavyojua tushauriane basiAcha propaganda. Sio pekee ako unaelima
Wiki mbili zilizopita gunia lilikua 105000 kule majimotoWewe unavyoona kalima huyo?
Wapi hapa nchini gunia la mpunga 130,000?