Tuliolima mpunga sasa gunia ni Tsh. 130,000/= halafu kijana unashadadia maandamano

Hiko kipindi mbali August tu utapanda hadi 100k
Hapa Msonga Bei ya mbegu ya kawaida Kwa gunia ni 115k mbegu pendwa ni 130k.
Kama una mtu maeneo hayo uliza hata muda huu semi zipo zimepaki zinapakia.
 
Unaumwa mang'ondi ww, hata kwenye hicho kilimo ccm ilitakiwa isapoti vijana. Angalia sasa hivi asilimia kubwa hakuna mbolea.
Toka kwanza Kwa shemeji yako ndiyo utajua maana ya kufanya kazi
Vinginevyo utaendelea kumlaumu Abdul
 
Ww ni kilaza Namba moja, umekariri kilimo ni mpunga tu, ulizia kama mbolea ipo ndio uje hapa kujisifia ujinga ujinga tu.
 
Mbolea ipo kibao tu,sema hela huna maana mbolea ya ruzuku ishaisha
 
Hawa vijana wa chadema wanaolima kwenye comment JF ndio wanawaponza wenzao , kumbe yenyewe yanalipwa kuchafua amani.
 
Kujua haya Ina faida gani na Mpunga wangu? Bangi ni mbaya sana sema mnazitetea tu.
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
 
Hawa vijana wa chadema wanaolima kwenye comment JF ndio wanawaponza wenzao , kumbe yenyewe yanalipwa kuchafua amani.
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
 
Mbolea ipo kibao tu,sema hela huna maana mbolea ya ruzuku ishaisha
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
 
Baada ya kugundua na kujitambua nikaelewa kuwa nilikuwa napoteza muda kuilaumu serikali.
Takribani miaka 11 Sasa tangu nilipohitimu elimu yangu ya chuo kikuuu sijabahatika kupata ajira rasmi zaidi ya harakati zangu binafsi ili mkono uende kinywani.
Nililima na Sasa nimevuna mpunga wangu,bei ya gunia imefikia 130,000/= sokoni.

Nawashangaa sana vijana ambao bado wanashadadia habari za kuvuruga amani Kwa kisingizio Cha maandamano.Ndugu zangu bila kujituma katika kazi hakuna unachoweza kufanya kwenye maisha.

Tufanyeni kazi,tuacheni kulialia na serikali wakati sisi wenyewe hatufanyi chochote.Kila kukicha ni kijiweni kumlaumu Samia,Abdul,Mwigulu,Msigwa,Katambi,Yaani Kwa sababu ya ubovu wa kichwa chako Kila mtu unamuona mbaya.FANYA KAZI RAFIKI.

Hapa makibo ekari ya mpunga unakodi Kwa 50k una uhakika wa kivuna kuanzia gunia 12 Kwa msimu wa changamoto,halafu unamlilia Abdul....?? hebu jaribu basi hata ekari 3 tu ndo uendelee na lawama Sasa.

Huwezi kumyang'anya aliyepewa. Fanyeni kazi. Degree yangu inashindaga mbugani ya kwako kwenye kahawa,matokeo ninavuna wewe matokeo unataka Abdul akupatie gari yake POLE.
Chawa mwingine kwenye moja na mbili akiwa mbugani analima.

Anyways, sijawahi kuona chawa mkulima, walio wengi utawakuta wamepewa pa kujishikiza na serikali au wengine wameshupaza shingo Vijiweni wakiwasifia wabunge wa CCM walioleta TV kwenye vijiwe vya kahawa wakati wanaomba kura
 
Baada ya kugundua na kujitambua nikaelewa kuwa nilikuwa napoteza muda kuilaumu serikali.
Takribani miaka 11 Sasa tangu nilipohitimu elimu yangu ya chuo kikuuu sijabahatika kupata ajira rasmi zaidi ya harakati zangu binafsi ili mkono uende kinywani.
Nililima na Sasa nimevuna mpunga wangu,bei ya gunia imefikia 130,000/= sokoni.

Nawashangaa sana vijana ambao bado wanashadadia habari za kuvuruga amani Kwa kisingizio Cha maandamano.Ndugu zangu bila kujituma katika kazi hakuna unachoweza kufanya kwenye maisha.

Tufanyeni kazi,tuacheni kulialia na serikali wakati sisi wenyewe hatufanyi chochote.Kila kukicha ni kijiweni kumlaumu Samia,Abdul,Mwigulu,Msigwa,Katambi,Yaani Kwa sababu ya ubovu wa kichwa chako Kila mtu unamuona mbaya.FANYA KAZI RAFIKI.

Hapa makibo ekari ya mpunga unakodi Kwa 50k una uhakika wa kivuna kuanzia gunia 12 Kwa msimu wa changamoto,halafu unamlilia Abdul....?? hebu jaribu basi hata ekari 3 tu ndo uendelee na lawama Sasa.

Huwezi kumyang'anya aliyepewa. Fanyeni kazi. Degree yangu inashindaga mbugani ya kwako kwenye kahawa,matokeo ninavuna wewe matokeo unataka Abdul akupatie gari yake POLE.
Ukiulizwa ni asilimia ngapi ya wakulima nchini wanalima kilimo cha kisasa na cha uhakika, huku wakipata msaada wa mbolea ya ruzuku kutoka serikalini, na pia serikali hiyo hiyo kuwatafutia masoko ya uhakika; sidhani kama utakuwa na majibu sahihi.
 
kwanza hongera kwa kulima mkuu, lakini natatizika na andiko lako kuhusiana na bei uloieleza nchi hi gunia la mpunga laki na thelasini? ni mkulima wa mpunga tena mzoefu nalimia mbeya mahala nilipo gunia ya debe 10 na laki 1 tu..nb kwa kiasi furani mwaka huu wakulima tumepigwa za uso kipato na ghalama za utunzaji wa shamba ni mbigu na ardhi. Kalibu tujadiliane
 
Baada ya kugundua na kujitambua nikaelewa kuwa nilikuwa napoteza muda kuilaumu serikali.
Takribani miaka 11 Sasa tangu nilipohitimu elimu yangu ya chuo kikuuu sijabahatika kupata ajira rasmi zaidi ya harakati zangu binafsi ili mkono uende kinywani.
Nililima na Sasa nimevuna mpunga wangu,bei ya gunia imefikia 130,000/= sokoni.

Nawashangaa sana vijana ambao bado wanashadadia habari za kuvuruga amani Kwa kisingizio Cha maandamano.Ndugu zangu bila kujituma katika kazi hakuna unachoweza kufanya kwenye maisha.

Tufanyeni kazi,tuacheni kulialia na serikali wakati sisi wenyewe hatufanyi chochote.Kila kukicha ni kijiweni kumlaumu Samia,Abdul,Mwigulu,Msigwa,Katambi,Yaani Kwa sababu ya ubovu wa kichwa chako Kila mtu unamuona mbaya.FANYA KAZI RAFIKI.

Hapa makibo ekari ya mpunga unakodi Kwa 50k una uhakika wa kivuna kuanzia gunia 12 Kwa msimu wa changamoto,halafu unamlilia Abdul....?? hebu jaribu basi hata ekari 3 tu ndo uendelee na lawama Sasa.

Huwezi kumyang'anya aliyepewa. Fanyeni kazi. Degree yangu inashindaga mbugani ya kwako kwenye kahawa,matokeo ninavuna wewe matokeo unataka Abdul akupatie gari yake POLE.
Hujawahi kulim

a

Hujawahi kulima wewe hivi mpunga ulivyo na shughuli unatoa wapi muda wa kuandika bandiko la kichawa kama hili?
 
Wewe sio mkulima, gunia la mahindi sasa hivi elfu 38 hadi 35 shambani..!!

Mpunga elfu 80 gunia
Bora huko kwenu, kwetu gunia la mahindi 30000/= maanake debe moja 5000, gunia la karanga 65000/=, alizeti kidogo sio mbaya 70,000/= maharage debe 25000/= lile la kg 20 zamani ilikuaga 40000/=
 
Back
Top Bottom