Tuliolima mpunga sasa gunia ni Tsh. 130,000/= halafu kijana unashadadia maandamano

Kilimo cha matikiti na mpunga kinalipa kwenye makaratasi ila shambani utapenda mwenyewe na kujikuta unalaumu mifumo ya usimamizi wa mazao ya kilimo mqqnq ni kilio na kusaga meno
Wewe unavyoona kalima huyo?

Wapi hapa nchini gunia la mpunga 130,000?
i
 
Baada ya kugundua na kujitambua nikaelewa kuwa nilikuwa napoteza muda kuilaumu serikali.

Takribani miaka 11 Sasa tangu nilipohitimu elimu yangu ya chuo kikuuu sijabahatika kupata ajira rasmi zaidi ya harakati zangu binafsi ili mkono uende kinywani.
Nililima na Sasa nimevuna mpunga wangu,bei ya gunia imefikia 130,000/= sokoni.

Nawashangaa sana vijana ambao bado wanashadadia habari za kuvuruga amani Kwa kisingizio Cha maandamano.Ndugu zangu bila kujituma katika kazi hakuna unachoweza kufanya kwenye maisha.

Tufanyeni kazi,tuacheni kulialia na serikali wakati sisi wenyewe hatufanyi chochote.Kila kukicha ni kijiweni kumlaumu Samia,Abdul,Mwigulu,Msigwa,Katambi,Yaani Kwa sababu ya ubovu wa kichwa chako Kila mtu unamuona mbaya.FANYA KAZI RAFIKI.

Hapa makibo ekari ya mpunga unakodi Kwa 50k una uhakika wa kivuna kuanzia gunia 12 Kwa msimu wa changamoto,halafu unamlilia Abdul....?? hebu jaribu basi hata ekari 3 tu ndo uendelee na lawama Sasa.

Huwezi kumyang'anya aliyepewa. Fanyeni kazi. Degree yangu inashindaga mbugani ya kwako kwenye kahawa,matokeo ninavuna wewe matokeo unataka Abdul akupatie gari yake POLE.
Huna akili wewe kwa hiyo ukivuna mpunga wewe nanukauzwa 130,000/= basi wengisbe wote wakalime mpunga waache kudai haki zao za kujatishiwa uhai wa ndugu zao bila sababu eti kisa wewe mpuuzi mmoja umevuna mpunga, jinga kabisa nmwewe mtu
 
Baada ya kugundua na kujitambua nikaelewa kuwa nilikuwa napoteza muda kuilaumu serikali.

Takribani miaka 11 Sasa tangu nilipohitimu elimu yangu ya chuo kikuuu sijabahatika kupata ajira rasmi zaidi ya harakati zangu binafsi ili mkono uende kinywani.
Nililima na Sasa nimevuna mpunga wangu,bei ya gunia imefikia 130,000/= sokoni.

Nawashangaa sana vijana ambao bado wanashadadia habari za kuvuruga amani Kwa kisingizio Cha maandamano.Ndugu zangu bila kujituma katika kazi hakuna unachoweza kufanya kwenye maisha.

Tufanyeni kazi,tuacheni kulialia na serikali wakati sisi wenyewe hatufanyi chochote.Kila kukicha ni kijiweni kumlaumu Samia,Abdul,Mwigulu,Msigwa,Katambi,Yaani Kwa sababu ya ubovu wa kichwa chako Kila mtu unamuona mbaya.FANYA KAZI RAFIKI.

Hapa makibo ekari ya mpunga unakodi Kwa 50k una uhakika wa kivuna kuanzia gunia 12 Kwa msimu wa changamoto,halafu unamlilia Abdul....?? hebu jaribu basi hata ekari 3 tu ndo uendelee na lawama Sasa.

Huwezi kumyang'anya aliyepewa. Fanyeni kazi. Degree yangu inashindaga mbugani ya kwako kwenye kahawa,matokeo ninavuna wewe matokeo unataka Abdul akupatie gari yake POLE.
Michadema ni mipumbavu sana.
 
Unaliwa tigo wewe sio bure... Umelima mpunga sasa umekuwa punga, haya uje mjini tukukule
 
Back
Top Bottom