Wewe huelewi kuwa bila wananchi kudai haki zao za kisiasa hiyo bei inaweza kupanguliwa muda wowote na ukalazimishwa kuuza kwa bei wanayotaka wao, kwa watu wanaowataka wao?Baada ya kugundua na kujitambua nikaelewa kuwa nilikuwa napoteza muda kuilaumu serikali.
Takribani miaka 11 Sasa tangu nilipohitimu elimu yangu ya chuo kikuuu sijabahatika kupata ajira rasmi zaidi ya harakati zangu binafsi ili mkono uende kinywani.
Nililima na Sasa nimevuna mpunga wangu,bei ya gunia imefikia 130,000/= sokoni.
Nawashangaa sana vijana ambao bado wanashadadia habari za kuvuruga amani Kwa kisingizio Cha maandamano.Ndugu zangu bila kujituma katika kazi hakuna unachoweza kufanya kwenye maisha.
Tufanyeni kazi,tuacheni kulialia na serikali wakati sisi wenyewe hatufanyi chochote.Kila kukicha ni kijiweni kumlaumu Samia,Abdul,Mwigulu,Msigwa,Katambi,Yaani Kwa sababu ya ubovu wa kichwa chako Kila mtu unamuona mbaya.FANYA KAZI RAFIKI.
Hapa makibo ekari ya mpunga unakodi Kwa 50k una uhakika wa kivuna kuanzia gunia 12 Kwa msimu wa changamoto,halafu unamlilia Abdul....?? hebu jaribu basi hata ekari 3 tu ndo uendelee na lawama Sasa.
Huwezi kumyang'anya aliyepewa. Fanyeni kazi. Degree yangu inashindaga mbugani ya kwako kwenye kahawa,matokeo ninavuna wewe matokeo unataka Abdul akupatie gari yake POLE.
QLMY, Kwani magunia yako na maandamano vinahusiana vipi? QmmmmkBaada ya kugundua na kujitambua nikaelewa kuwa nilikuwa napoteza muda kuilaumu serikali.
Takribani miaka 11 Sasa tangu nilipohitimu elimu yangu ya chuo kikuuu sijabahatika kupata ajira rasmi zaidi ya harakati zangu binafsi ili mkono uende kinywani.
Nililima na Sasa nimevuna mpunga wangu,bei ya gunia imefikia 130,000/= sokoni.
Nawashangaa sana vijana ambao bado wanashadadia habari za kuvuruga amani Kwa kisingizio Cha maandamano.Ndugu zangu bila kujituma katika kazi hakuna unachoweza kufanya kwenye maisha.
Tufanyeni kazi,tuacheni kulialia na serikali wakati sisi wenyewe hatufanyi chochote.Kila kukicha ni kijiweni kumlaumu Samia,Abdul,Mwigulu,Msigwa,Katambi,Yaani Kwa sababu ya ubovu wa kichwa chako Kila mtu unamuona mbaya.FANYA KAZI RAFIKI.
Hapa makibo ekari ya mpunga unakodi Kwa 50k una uhakika wa kivuna kuanzia gunia 12 Kwa msimu wa changamoto,halafu unamlilia Abdul....?? hebu jaribu basi hata ekari 3 tu ndo uendelee na lawama Sasa.
Huwezi kumyang'anya aliyepewa. Fanyeni kazi. Degree yangu inashindaga mbugani ya kwako kwenye kahawa,matokeo ninavuna wewe matokeo unataka Abdul akupatie gari yake POLE.
Toka Kwa shemeji yako kwanza ukajitegemee ndiyo uje Sasa ujadiliane na wanaumeWw ni kilaza Namba moja, umekariri kilimo ni mpunga tu, ulizia kama mbolea ipo ndio uje hapa kujisifia ujinga ujinga tu.
unauliza soko la nini wakati mazao yako ni comment kama hizi.Lima kwanza Sisi tunaolima tunajua soko lilipo.Ndiyo maana unaona watu wanaandika mpunga ni 90k na mahali pengine ni zaidi.Wewe hata gunia huna unataka soko.Kaandamane uvune mkuuUkiulizwa ni asilimia ngapi ya wakulima nchini wanalima kilimo cha kisasa na cha uhakika, huku wakipata msaada wa mbolea ya ruzuku kutoka serikalini, na pia serikali hiyo hiyo kuwatafutia masoko ya uhakika; sidhani kama utakuwa na majibu sahihi.
Usikariri maisha ni zaidi ya IST.Wewe ndiye maskini zaidi wa fikra.Nani amekwambia kipaumbele changu ni hicho? Unawaza starehe bila kufanya kazi.Kizazi Cha laana hikiww ni maskini na mawazo ya kimaskini iv unajua unatakiwa uuze gunia ngap ili ununue IST
Huyu ni mkulima wa kuchemsha 🤣Wewe sio mkulima, gunia la mahindi sasa hivi elfu 38 hadi 35 shambani..!!
Mpunga elfu 80 gunia
Unanifundisha kuhusu kilimo cha mpunga! Pole sana. Kama hufahamu, nimefanya hicho kilimo hata kabla hujazaliwa.Una
unauliza soko la nini wakati mazao yako ni comment kama hizi.Lima kwanza Sisi tunaolima tunajua soko lilipo.Ndiyo maana unaona watu wanaandika mpunga ni 90k na mahali pengine ni zaidi.Wewe hata gunia huna unataka soko.Kaandamane uvune mkuu