Tulibhalegha
Member
- Mar 29, 2026
- 34
- 50
iWewe unavyoona kalima huyo?
Wapi hapa nchini gunia la mpunga 130,000?
Kwahiyo?Yote ni yale yale, anaweza asimsikilize Heche akaja kutekwa, kupotezwa ama kubambikiwa kesi na serekali ya CCM.
Choices zote hazina hakikisho la usalama. Kila mmoja na achague atakavyoKwahiyo?
Pua gani? Hao ni wajinga japokuwa tumewapatia watoto wetu wawaleeChuki zako kwa walimu zitakutokea puani
You are very StupidPua gani? Hao ni wajinga japokuwa tumewapatia watoto wetu wawalee
Huna akili wewe kwa hiyo ukivuna mpunga wewe nanukauzwa 130,000/= basi wengisbe wote wakalime mpunga waache kudai haki zao za kujatishiwa uhai wa ndugu zao bila sababu eti kisa wewe mpuuzi mmoja umevuna mpunga, jinga kabisa nmwewe mtuBaada ya kugundua na kujitambua nikaelewa kuwa nilikuwa napoteza muda kuilaumu serikali.
Takribani miaka 11 Sasa tangu nilipohitimu elimu yangu ya chuo kikuuu sijabahatika kupata ajira rasmi zaidi ya harakati zangu binafsi ili mkono uende kinywani.
Nililima na Sasa nimevuna mpunga wangu,bei ya gunia imefikia 130,000/= sokoni.
Nawashangaa sana vijana ambao bado wanashadadia habari za kuvuruga amani Kwa kisingizio Cha maandamano.Ndugu zangu bila kujituma katika kazi hakuna unachoweza kufanya kwenye maisha.
Tufanyeni kazi,tuacheni kulialia na serikali wakati sisi wenyewe hatufanyi chochote.Kila kukicha ni kijiweni kumlaumu Samia,Abdul,Mwigulu,Msigwa,Katambi,Yaani Kwa sababu ya ubovu wa kichwa chako Kila mtu unamuona mbaya.FANYA KAZI RAFIKI.
Hapa makibo ekari ya mpunga unakodi Kwa 50k una uhakika wa kivuna kuanzia gunia 12 Kwa msimu wa changamoto,halafu unamlilia Abdul....?? hebu jaribu basi hata ekari 3 tu ndo uendelee na lawama Sasa.
Huwezi kumyang'anya aliyepewa. Fanyeni kazi. Degree yangu inashindaga mbugani ya kwako kwenye kahawa,matokeo ninavuna wewe matokeo unataka Abdul akupatie gari yake POLE.
Michadema ni mipumbavu sana.Baada ya kugundua na kujitambua nikaelewa kuwa nilikuwa napoteza muda kuilaumu serikali.