Tuliomba ajira za Posta Agosti 2025, mpaka leo hakuna majibu wala aliyeitwa kazini

A

Anonymous

Guest
Tumeomba ajira Serikalini tangu Mwaka 2025 Mwezi wa 8 lakini mpaka Machi hii 2026 hakuna aliyeitwa wala majibu yoyote hadi leo.

Tuliomba nafasi na tulituma kupitia Ajira Portal upande wa Ajira za Posta.
1773304965431.jpeg
 
View attachment 3556868
Mkuu watawaita tu, hata jana zile post za walioomba September mwaka jana ndio wameitwa written. Na zile za October kabla ya uchaguzi (tulizoambiwa ni geresha) nazo wametumiwa notification ya interview kuanzia 30 March na kuendelea mpaka April nzima.

So vuta subira tu
 
Back
Top Bottom