A Anonymous Guest Mar 14, 2026 #1 Tumeomba ajira Serikalini tangu Mwaka 2025 Mwezi wa 8 lakini mpaka Machi hii 2026 hakuna aliyeitwa wala majibu yoyote hadi leo. Tuliomba nafasi na tulituma kupitia Ajira Portal upande wa Ajira za Posta.
Tumeomba ajira Serikalini tangu Mwaka 2025 Mwezi wa 8 lakini mpaka Machi hii 2026 hakuna aliyeitwa wala majibu yoyote hadi leo. Tuliomba nafasi na tulituma kupitia Ajira Portal upande wa Ajira za Posta.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Mar 15, 2026 #2 Subira yavuta kheri... Cc: Mahondaw
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 24,661 Reaction score 40,890 Mar 15, 2026 #3 Anonymous said: Tumeomba ajira Serikalini tangu Mwaka 2025 Mwezi wa 8 lakini mpaka Machi hii 2026 hakuna aliyeitwa wala majibu yoyote hadi leo. Tuliomba nafasi na tulituma kupitia Ajira Portal upande wa Ajira za Posta. View attachment 3556868 Click to expand... Mkuu watawaita tu, hata jana zile post za walioomba September mwaka jana ndio wameitwa written. Na zile za October kabla ya uchaguzi (tulizoambiwa ni geresha) nazo wametumiwa notification ya interview kuanzia 30 March na kuendelea mpaka April nzima. So vuta subira tu
Anonymous said: Tumeomba ajira Serikalini tangu Mwaka 2025 Mwezi wa 8 lakini mpaka Machi hii 2026 hakuna aliyeitwa wala majibu yoyote hadi leo. Tuliomba nafasi na tulituma kupitia Ajira Portal upande wa Ajira za Posta. View attachment 3556868 Click to expand... Mkuu watawaita tu, hata jana zile post za walioomba September mwaka jana ndio wameitwa written. Na zile za October kabla ya uchaguzi (tulizoambiwa ni geresha) nazo wametumiwa notification ya interview kuanzia 30 March na kuendelea mpaka April nzima. So vuta subira tu