Tuliomtetea Kabendera tumwombe radhi mwendazake, Naanza na Pascal Mayalla nisamehe Mkuu

Tangu Lini ccm mkawa na huruma kwa Freeman Mbowe?! Na kama mna huruma kiasi hicho basi mshaurini mtemi hangaya amfutie mashtaka ya kubumba bila masharti yoyote na sio kumtega Mbowe aombe msamaha kwa tuhuma tu bila udhibitisho wa kutenda makosa
 
Refer Rugemalira na uhujumu uchumi
 
Acha kupotosha. Winnie Mandela hakutaka kabisa mandela aombe msamaha. Tena hakutaka kabisa kuwe na mapatano kati ya wazungu na weusi. She was very radical on that.....
Soma au fatilia historia yako vizuri, huna haja ya kejeli nk winnie alifanya sana lobbying ili Nelson awe huru miaka ya 69 na 70, baadaye naye alipata kesi kutoka kwa apartheid regime akakaa jela kwa miezi kadhaa , hapo ndo alipata elements za radicalism ,
 
Hii inafahamika mkuu
Wahenga wanasema kabla hujaanza mbio , agana na nyonga...

Kabla vijana hawajiita wanaharakati ,lazima wajue what it takes to be one ,
 
Hii ndio nimeiona leo lakini hata kama yamepita hoja yako ni ya kudumu.
Ni kweli, kama Mbowe angekubali kuomba ule msamaha na kutoka jela kwa msamaha kamwe asingekuwa na heshima milele na isinge futa kuwa ni gaidi maana kuomba msamaha ni kukiri kosa na watawala walitaka iwe hivyo.
 
Apology accepted
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…