Akili kisodaWapuuzi sana. Walishupaza shingo wakajua mambo yatabaki vile vile. Sasa wamebaki kujifariki kwenye picha za mbele ya nyumba ya mwamba. Hawajui hataa waanze vipi. Na CCM ishamaliza kazi Ndio maana hata haina mpango na maridhiano yao maana imeshawamaliza na hawawezi Tena kukaa kwenye line iyo ni mpk 2026 tuanze upyaa ππ
Mfano bahari imetuliaCCM walimtukanaje Magufuli?
Unaweza kutuwekea facts hapa ili na sisi tunaotumia akili, badala ya maneno ya kwenye kanga na kahawa tuweze kujiridhisha!
We hujui kitu LofaUnapoiongelea kanda ya ziwa uondowe mkoa wa Mara halafu tumia neno wasukuma ndio wajinga waliojaa ukabila.
Wote wana hiyo "akili" inayojitegemea?. Kama sio wote je,wengi wapi,wenye akili au wasio na hiyo akili?[emoji120]Kanda ya ziwa ni watu wenye akili inayyojitegemea, hawaelekezwi nani wa kumkubali au kuchagua, mitazamo yao haiwi compromised
Ni kweli sikio la kufa halisikii dawa !Kinachokwenda kutokea CCM, ni kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli
Mabadiriko yanayofanywa na CCM, ni mpango madhubuti ya kuinasa tena kanda ya ziwa kisiasa na kuendelea kuwa mtaji wao!
Wakati wana ccm wakitukana sana jina la JPM, tukawashauri wapinzani kwamba, wao ndio wachukue jenda ya jina hilo ili kuwabomoa moja kwa moja Wapinzani wao kisiasa CCM, wakatukejeri kwa maneno yasiyo na maana
Kwa sasa, mambo yanaelekea kugeuka, na wao ndio wameanza kulalamika
Sasa komaeni tena kuwa wapinzani wa milele
Na baadhi yao wameshapiga about turn ! π π πAise hiyo imeenda! hiyo imeendaaaaaa π π π πWaliokuwa wanambeza JPM sasa hivi wanatumbua macho tu!!
Akili zenu zinafanana, chungu kuita birika nyeus.CCM walimtukanaje Magufuli?
Unaweza kutuwekea facts hapa ili na sisi tunaotumia akili, badala ya maneno ya kwenye kanga na kahawa tuweze kujiridhisha!