Tulionya tukapuuzwa, tukashauri wapinzani, basi wao wachukue nafasi ya upepo wa JPM, wakatuita kila aina ya majina!

Tulionya tukapuuzwa, tukashauri wapinzani, basi wao wachukue nafasi ya upepo wa JPM, wakatuita kila aina ya majina!

Wapuuzi sana. Walishupaza shingo wakajua mambo yatabaki vile vile. Sasa wamebaki kujifariki kwenye picha za mbele ya nyumba ya mwamba. Hawajui hataa waanze vipi. Na CCM ishamaliza kazi Ndio maana hata haina mpango na maridhiano yao maana imeshawamaliza na hawawezi Tena kukaa kwenye line iyo ni mpk 2026 tuanze upyaa 😂😂
Akili kisoda
 
Kanda ya ziwa ni watu wenye akili inayyojitegemea, hawaelekezwi nani wa kumkubali au kuchagua, mitazamo yao haiwi compromised
Wote wana hiyo "akili" inayojitegemea?. Kama sio wote je,wengi wapi,wenye akili au wasio na hiyo akili?[emoji120]
 
Kinachokwenda kutokea CCM, ni kuwajengea imani wote waliokuwa na hasira juu ya kutukanwa na kubagazwa kwa aliyekuwa kipenzi cha Watanzania wengi hayati John Pombe Magufuli

Mabadiriko yanayofanywa na CCM, ni mpango madhubuti ya kuinasa tena kanda ya ziwa kisiasa na kuendelea kuwa mtaji wao!

Wakati wana ccm wakitukana sana jina la JPM, tukawashauri wapinzani kwamba, wao ndio wachukue jenda ya jina hilo ili kuwabomoa moja kwa moja Wapinzani wao kisiasa CCM, wakatukejeri kwa maneno yasiyo na maana

Kwa sasa, mambo yanaelekea kugeuka, na wao ndio wameanza kulalamika

Sasa komaeni tena kuwa wapinzani wa milele
Ni kweli sikio la kufa halisikii dawa !
Sasa wenzao wameona hakuna namna nyingine isipokuwa kurudi nyuma na kuanza kutembelea viatu vya Mwamba japokuwa viatu ni vikubwa sana 😅🙏🙏😅
 
Aise hiyo imeenda! hiyo imeendaaaaaa 😀 😀 😀 😀Waliokuwa wanambeza JPM sasa hivi wanatumbua macho tu!!
Na baadhi yao wameshapiga about turn ! 😅😅🙏
Tuliwaambia nendeni kwa Ground mkajionee JPM alikuwa ni nani kwenye mioyo ya wengi !
Japo viatu vyake ni vikubwa sana !!
Ngoja tuone !
 
CCM walimtukanaje Magufuli?

Unaweza kutuwekea facts hapa ili na sisi tunaotumia akili, badala ya maneno ya kwenye kanga na kahawa tuweze kujiridhisha!
Akili zenu zinafanana, chungu kuita birika nyeus.
 
Back
Top Bottom