Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Unajua hiyo gas inamirikiwa na nani? Unafikiri ni ya watz? Ni ya wazungu mkuu itarudi kumilikiwa na watz baada ya miaka 50. Hivyo usiitegemee sana hiyo gas tulipigwa sana tu wakati wakusaini mikataba ya utafutaji na uchimbaji wa gas hiyo. Ilitumika njia ya BOT yaani Build, Operate and Transfer hivyo tulipigwa kwenye ku Operate for 50 years.Tulionya umeme wa maji sio wa uhakika kwa sababu mvua hazitabiriki siku hizi kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani...
Hiyo gesi kwani bado ni ya kwetu??
Kati ya maji na gesi, kipi renewable? Kwanini mkiambiwa, hamchanganyi na za kwenu?Tulionya umeme wa maji sio wa uhakika kwa sababu mvua hazitabiriki siku hizi kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani...
Hiyo gesi kwani bado ni ya kwetu??
Kuna mikataba ukiigusa tu lazima nchi ifirisike! Hata CDM akiingia hawezi kuibadirisha ni siasa tu.Gas ni ya kwetu maana iko kwetu. Kama kuna mikataba michafu tulitaka kama kweli Magufuli alikuwa anapambana na mafisadi awachukulie hatua. Sio kudeal na wezi vidagaa wakati kuna wezi wa kweli hakuthubutu kuwagusa.
Ethiopia wamezindua lao na sasa wanauza umeme Kenya! Hivi kweli sisi tushindwe namna ya kuhakikisha bwawa halikauki?Tulionya umeme wa maji sio wa uhakika kwa sababu mvua hazitabiriki siku hizi kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani...
Tulionya umeme wa maji sio wa uhakika kwa sababu mvua hazitabiriki siku hizi kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa duniani.
Umeme wa uhakika ungekuwa ule wa gesi kule kusini.
Lakini watu wakatia pamba masikioni na kutekelekeza mradi wa gesi uliokuwa umegharimu mabilioni tayari.
Hayo matrilioni kwenye bwawa la Nyerere ni kama yanapotea tu sababu ni ya kutegemea mvua hizi hizi za kubahatisha.
Kuna mikataba ukiigusa tu lazima nchi ifirisike! Hata CDM akiingia hawezi kuibadirisha ni siasa tu.
Hili la gesi ya kwetu au si ya kwetu ni mada ambazo hujadiliwa na wasio na ufahamu.Gas ni ya kwetu maana iko kwetu. Kama kuna mikataba michafu tulitaka kama kweli Magufuli alikuwa anapambana na mafisadi awachukulie hatua. Sio kudeal na wezi vidagaa wakati kuna wezi wa kweli hakuthubutu kuwagusa.