Mikataba ukiivunja lazima ufirisi nchi mkuu ni kusubiri tu mpaka hiyo miaka ikamilike na ubaya zaidi hata wataalamu wetu hawaajiriwi huko kwenye mitambo ya gas hivyo itamalizika hiyo miaka hatutakuwa na wataalamu wa kuendesha mitambo hiyo ya uchimbaji wa gas itabidi tuendelea kurenew mikataba hiyo tena mpaka gas iishe kabisa huko ardhini. Ni shida sana.Tunataka tujue hiyo mikataba na kwanini haigusiki. Sio wahuni watambe kwa mikataba isiyo na tija na bado waachwe.