- Thread starter
- #61
Kwanini hukusoma vizuri nilichokiandika ? Soma tena nilichokiandika kisha uulize swali upya kwa kile nilichokiandika.Wakati unatoa mahari ya 700,000= ilikuwa Mwaka gani Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini hukusoma vizuri nilichokiandika ? Soma tena nilichokiandika kisha uulize swali upya kwa kile nilichokiandika.Wakati unatoa mahari ya 700,000= ilikuwa Mwaka gani Mkuu?
Msingi mama wa hizo sherehe ni kujidai wanamuonyesha Mwanamke namna gani ananyimwa haki zake, ananyanyaswa na kujilinganisha na Mwanaume."Inampoteza mwanamke." How?
Umepata wapi hii habari ? Maana katika ufungaji ndoa kuna maneno hutamkwa kwa matamko ya wakati uliopita, hilo la kuoana umelipata wapi?
Kwanye Uislamu kuna kuoza na kuoa, hakuna kuozana.
😂😂😂😂..walinambia 1m kama mahari, nikasema ana K mbili au vipi
Yeah, that's your opinion.Msingi mama wa hizo sherehe ni kujidai wanamuonyesha Mwanamke namna gani ananyimwa haki zake, ananyanyaswa na kujilinganisha na Mwanaume.
Dhana ya haki sawa kwa wote ni sanamu la kichwa cha ng'ombe ndani ya mwili wa chui, na nyinyi mkaona yule kweli ni ng'ombe na si chui. Yaani mnachotaka nyinyi ni kufanana kwa haki na kushindana na sisi. Hiki kitendo ni kumpoteza mwanamke toka katika umbile lake.
Nidhamu ya maisha na asili haitaki kufanana bali inataka kila mtu apate haki yake. Hivi kwa akili ya kawaida,hivi ni sawa kumpa hela sawa mvivu na mchapakazi katika kazi ? Hii ni dhulma, je yuko sawa mwenye akili na asiyekuwa na akili ?Mwenye elimu na asiyekuwa na ekimu ? Jibu ni hapana. Sasa vipi awe sawa Mwanaume na Mwanamke ?
Mimi nilitoa 7,000 tu (elfu saba tu)Leo niko huku kwa mtindo huu, ila nasikia leo ni siku ya kina mama (Wanawake) duniani maana yake siku zilizobaki ni zetu sisi kina baba, yaani kwa thamani na nafasi ya mwanamke ambaye natakiwa kumpa mara tatu zaidi ya baba, kwa mwaka anaadhimishwa mara moja. Huu ni udogashaji na udhalilishaji wa hali ya juu, ila maskini wenyewe vipofu wanaona sawa, utawaona wamevaa vitenge na kutembea uchi. Salamu zangu ndiyo hizo nawaambia waache habari za siku ya mwanamke duniani, hii ni aina ya udhalilishaji kwake.
Baada ya salamu hizo, narudi kwenye mada kwa mapito haya, asikwambie Mtu,ndoa yenye baraka ni ile ambayo kufungwa kwake mahari yake ilikuwa ndogo sana. Haya si maneno yangu, bali ni maneno yaliyotoka katika kinywa twahara.
Ni nini ndoa na kwanini tunaumizana katika kutoa mahari kubwa bila sababu za msingi hali ya kuwa sote ni wanufaika na wahitaji. Ndoa ni mkataba wa maridhiano baina ya pande mbili,mwanamke akiwa muolewaji kwa mahari waliyokubaliana na mwanamume akiwa muoaji, kwa kukubaliana waishi kwa wema, na kama ikitokea wameachana basi waachane kwa wema.
Tuliokadiriwa kutoa mahari ndogo, tuje tuwaambie vijana na watajaji mahari ya kuwa ndoa ni jambo le kheri,kwahiyo tusiumizane.
Mimi mahari niliyotoa kwa mke mkubwa ilikuwa chini ya Tsh 150,000/- pesa taslimu.
Vijana tuoeni mapema na tuoe sana, wake wawili au watatu au wanne ikibidi ila ukiwa na mmoja kuwa nae lakini uwe na simanzi kubwa ya kwanini uwe na mmoja.
Kuna tofauti kati ya kauli na vitendo, huko juu nilisem ya kuwa dhahiri ya kauli mbiu zenu ni haki sawa (Hapa nilitumia mfano wa sanamu ya kichwa cha Ng'ombe) lakini vitendo vyenu ni kushupaza shingo zenu katika kushindana na sisi. Hapa ndipo mlipodanganywa.Yeah, that's your opinion.
Msingi wa IWD sio kujilinganisha na wanaume wala sio kujaribu kumshusha mwanaume kwa kujifanya tupo juu au tunalingana na wanaume.
Awareness hiyo inakuwa imemili katika mambo gani ? Kwani kujadili mafanikio ya Mwanamke mpaka iwepo siku maalumu ?Msingi wa IWD, "is to celebrate women's achievements, to raise awareness about women's equality, lobby for accelerated gender parity ,fundraise for female-focused charities"
Hakuna aliyepinga mwanamke kusoma.Sasa kwanini unadhani mwanamke anatakiwa asiwe na haki ya kwenda shule?
Asiwe na haki ya ku-vote?
Asiwe na haki ya huwa kiongozi?
Asiwe na haki ya kujishughulisha na vitu ambavyo ana uwezo wa kuvifanya kwa sababu ni mwanamke?
kiswahili = kuoanaNifundishe Kiswahili kaka. Ila weka akilini hili ya kuwa kuna tamko moja lenye maana zaidi ya moja kulingana na mjengeko wa sentensi au maana. Mfano wa maneno hayo ni hilo "kuoza", kama yalivyo maneno "Kaa", "Paa", "Fua" na kadhalika.
Hakuna "kuoana" katika Kiswahili, rejea kwa Waswahili upate hukumu.
Chief! Kitenzi kinatokana na kitendo, sasa katika kitendo cha ndoa kuna kufanya na kufanywa (nimetumia tafsida). Maana yangu ni kuwa kitendo cha kumuingilia mkeo ni "kumfanya" (tafsida) na mkeo anapoingiliwa na wewe maana yake "anafanywa" (tafsida) Kwa hiyo kwa nje ni kuwa wewe "umemuoa" mkeo na mkeo "ameolewa" na wewe. Neno "kuoana" limezoeleka katika jamii, lakini kifasihi ni makosa.kiswahili = kuoana
english =To marry each other
Hicho ni kitenzi , na ni neno ambalo lipo kwenye lugha ya kiswahili japo nadhani, kwa sababu halitumiki sana na ndiyo maana haulijui.
Huna hoja, sasa uache kujitia ujuaji wakati hujui na hujui kama hujui.kiswahili = kuoana
english =To marry each other
Hicho ni kitenzi , na ni neno ambalo lipo kwenye lugha ya kiswahili japo nadhani, kwa sababu halitumiki sana na ndiyo maana haulijui.
Isizidi 1,000,000mahari isizidi ngapi wanaume wenzangu ?
maana kuna mikoa wanaitisha mahari kama uhai
Ikizidi 1,000,000 hayo nimauziano hadi mnaanza kubargain. Sio mahali tena kuna bidhaa mnajadiliana na kupunguziana kabisa bei ili mkamilishe biashara yenu.Isizidi 1,000,000
Ndiyo naikusanya kusanya hapa. Wiki ijayo nakutafuta tukamilishe jambo letu.😀
Sawa nasubiri ile mahari shekhe😊
mbali sana mkuu wacha ninunue boda bodaIsizidi 1,000,000
Ukipendwa na demu wa kimasai Raha sana.Leo niko huku kwa mtindo huu, ila nasikia leo ni siku ya kina mama (Wanawake) duniani maana yake siku zilizobaki ni zetu sisi kina baba, yaani kwa thamani na nafasi ya mwanamke ambaye natakiwa kumpa mara tatu zaidi ya baba, kwa mwaka anaadhimishwa mara moja. Huu ni udogashaji na udhalilishaji wa hali ya juu, ila maskini wenyewe vipofu wanaona sawa, utawaona wamevaa vitenge na kutembea uchi. Salamu zangu ndiyo hizo nawaambia waache habari za siku ya mwanamke duniani, hii ni aina ya udhalilishaji kwake.
Baada ya salamu hizo, narudi kwenye mada kwa mapito haya, asikwambie Mtu,ndoa yenye baraka ni ile ambayo kufungwa kwake mahari yake ilikuwa ndogo sana. Haya si maneno yangu, bali ni maneno yaliyotoka katika kinywa twahara.
Ni nini ndoa na kwanini tunaumizana katika kutoa mahari kubwa bila sababu za msingi hali ya kuwa sote ni wanufaika na wahitaji. Ndoa ni mkataba wa maridhiano baina ya pande mbili,mwanamke akiwa muolewaji kwa mahari waliyokubaliana na mwanamume akiwa muoaji, kwa kukubaliana waishi kwa wema, na kama ikitokea wameachana basi waachane kwa wema.
Tuliokadiriwa kutoa mahari ndogo, tuje tuwaambie vijana na watajaji mahari ya kuwa ndoa ni jambo le kheri,kwahiyo tusiumizane.
Mimi mahari niliyotoa kwa mke mkubwa ilikuwa chini ya Tsh 150,000/- pesa taslimu.
Vijana tuoeni mapema na tuoe sana, wake wawili au watatu au wanne ikibidi ila ukiwa na mmoja kuwa nae lakini uwe na simanzi kubwa ya kwanini uwe na mmoja.
My dear.. Wacha watu waishi watakavyoo..kusherekea women's day Kuna muuzi Mungu?... Kufanya Sherehe sijui ya birthday Napo.. masheikh wanapinga.... Je nikisherekea kufauli mtihani... nikisherekea mavuno ....Kusheherekea jmsiyo jambo ubaya ni nini unasherehekea na je ulazima wa kufanya hilo upo na je kuna natija ya kufanya hivyo ?
Ni ipi maana ya kusherehekea siku ya Wanawake duniani ? Sijaona haja hiyo na sababu ninazo.
Jurjani...kuwa was Kati na Kati katika Dini...Mimi hizo zote ulizo zitaja sisherehekei hata moja. Mimi nina sikukuu tatu tu basi kwa mwaka,nazo ni :
1. Kila siku ya Ijumaa kwangu ni sikukuu
2. Idd al Fitri
3. Idd al Adh'ha (Idd ya kuchinja)
Sasa maswali yako yanatakiwa yatokee katika hizo sikukuu tatu hapo juu.
Tanbihi : Hivi sahihi ni "Sherekea" au "Sherehekea" ?