Hongereni mimi mahari ilikuwa 3m.Leo niko huku kwa mtindo huu, ila nasikia leo ni siku ya kina mama (Wanawake) duniani maana yake siku zilizobaki ni zetu sisi kina baba, yaani kwa thamani na nafasi ya mwanamke ambaye natakiwa kumpa mara tatu zaidi ya baba, kwa mwaka anaadhimishwa mara moja. Huu ni udogashaji na udhalilishaji wa hali ya juu, ila maskini wenyewe vipofu wanaona sawa, utawaona wamevaa vitenge na kutembea uchi. Salamu zangu ndiyo hizo nawaambia waache habari za siku ya mwanamke duniani, hii ni aina ya udhalilishaji kwake.
Baada ya salamu hizo, narudi kwenye mada kwa mapito haya, asikwambie Mtu,ndoa yenye baraka ni ile ambayo kufungwa kwake mahari yake ilikuwa ndogo sana. Haya si maneno yangu, bali ni maneno yaliyotoka katika kinywa twahara.
Ni nini ndoa na kwanini tunaumizana katika kutoa mahari kubwa bila sababu za msingi hali ya kuwa sote ni wanufaika na wahitaji. Ndoa ni mkataba wa maridhiano baina ya pande mbili,mwanamke akiwa muolewaji kwa mahari waliyokubaliana na mwanamume akiwa muoaji, kwa kukubaliana waishi kwa wema, na kama ikitokea wameachana basi waachane kwa wema.
Tuliokadiriwa kutoa mahari ndogo, tuje tuwaambie vijana na watajaji mahari ya kuwa ndoa ni jambo le kheri,kwahiyo tusiumizane.
Mimi mahari niliyotoa kwa mke mkubwa ilikuwa chini ya Tsh 150,000/- pesa taslimu.
Vijana tuoeni mapema na tuoe sana, wake wawili au watatu au wanne ikibidi ila ukiwa na mmoja kuwa nae lakini uwe na simanzi kubwa ya kwanini uwe na mmoja.
Siyo mbaya.Hongereni mimi mahari ilikuwa 3m.
Sawa.My dear.. Wacha watu waishi watakavyoo..kusherekea women's day Kuna muuzi Mungu?... Kufanya Sherehe sijui ya birthday Napo.. masheikh wanapinga.... Je nikisherekea kufauli mtihani... nikisherekea mavuno ....
Kuna tatizo Fatawa zimekuwa nyingi... Usisherekee lizika na iddi mbili TU... kusherekea Kuna tatizo gani.....?
Wewe ukifanya mambo huwa unatarajia nini hasa kifurahisha nafsi yako kupata thawabu au unafanya kuwafurahisha watu na ruwaza yako ni nani ?Jurjani...kuwa was Kati na Kati katika Dini...
Mtu akiamua kusherekea achana nae.
.Mimi nafurahi Mwenyezi Mungu kunifikisha mwaka Mpya... Napika pilau langu na soda nakunywa...NALALA.
Hapa kosa langu lipowapi?
Hiyo raha umeipima kwenye unafuu wa mahari au?Ila Uislamu ni raha asikudanganye mtu, nilifunga ndoa pamoja na mahari kwa shillingi 70,000 ukijumulisha pamoja na usafiri.......sasa ni mwaka wa 9 watoto watatu, nyumba tumejenga gari tunazo mahaba tunayo pia
Njoo nikupe boxer bm 125 used miezi 11 kwa laki 9 kama zawadi kwa maamuzi haya ya kiume.mbali sana mkuu wacha ninunue boda boda
Mahari isizidi laki... Zaidi ya hapo, nyuma geuka, mbelee tembea, na usigeuke nyuma, utageuka jiwe la chumvi..mahari isizidi ngapi wanaume wenzangu ?
maana kuna mikoa wanaitisha mahari kama uhai
Mkuu Mambo mengi sana uislamu una unafuu sanaa, ila mada iliokuepo ni mahari, ndo maana nimetoa mfano huo tu.....Hiyo raha umeipima kwenye unafuu wa mahari au?
Mimi mahari niliyotoa kwa mke mkubwa ilikuwa chini ya Tsh 150,000/- pesa taslimu.
Hizi zilikuwa salamu tu kuja kwenu. Mada ya msingi ni Mahari.Naona mada imetoka kwenye mahari Hadi..kusherekea women's day..
Hapa inaonyesha wazi hujasoma hizo dalili, ila zipo nyingi sana.Sijaona hao wanazuoni wakitoa dalili za kutosherekea Sherehe...zaidi
Maana ya kutokuwa nasi unajua ni nini ? Hili jambo zito sana.Na watakao iga Mila za wasio waisilamu ...hawapo nasi..
Kwetu sisi tunaamini ya kuwa hakuna jambo jema kwalo kinatukurubisha zaidi kwa Allah ambalo Mtume hakutuambia wala hakuna jambo baya kwalo linatuweka mbali na Allah, ambalo Mtume hajatutahadharisha kwalo.Kweli kuna mambo yakuiga SI mazuri...lakini sherehe kama birthday...zinakatazwa kusheherekea,.. women's day ....zinakatazwa.. kusherekea....mwaka Mpya Hali kadhalika..
Sasa hapa kwenye Sunnah, jaribu kujikita zaidi, utapambaukiwa na mengi.Mimi...naishi kwa kufuata maamrisho na makatazo ya Allah...na kufuata sunna za Mtume...
Yapi hayo ? Naomba unitajie matatu tu.Mengine natumia Common Sense
Mimi mahari niliyotoa kwa mke mkubwa ilikuwa chini ya Tsh 150,000/- pesa taslimu.
aise nimewapenda Sana hao ,wakwe zako mkuu.kwa maisha na tamaduni za kiafrica ni ngumu Sana ukakuta familia zenye mitizamo Kama ya hao kuhusu mahali.Nina brother angu alioa kwa tsh.700 tu,sema enzi zile wakati sent,sumuni, zilikuwa bado in use.Kupewa mke bila mahari au mahari Kiduchu ni Mtego mkubwa
Wakati naoa niliomba wazee waende ukweni kwa mzee Macha ili waeleze nia ya kijana wao na kupewa taratibu za mahari.
Kichwani kwangu nilikuwa nawaza hiyo list ya mahari maana mzee alikuwa jeuri na binti amemsomesha. Wazee wakaambiwa njooni mwezi ujao na huyo kijana niwatajie mahari, tulipofika mzee akaita binti yake, Mankaaaaa njoo hapa! Mzee akamuuliza Unamjua huyu kijana? Umempenda mwenyewe? Manka akajibu ndio baba. Mzee akaniambia kijana kama mmependana nawapa baraka mkaishi vizuri hayo Ndio mahari.
Sasa ni Mtego Kwasababu ukweni wakikohoa tu Nimeshafika kwa jinsi ninavyowaheshimu na kuwapenda, yaani niko frontline utadhani mimi mtoto wao wa kiume.
Mkuu Mambo mengi sana uislamu una unafuu sanaa, ila mada iliokuepo ni mahari, ndo maana nimetoa mfano huo tu.....
Tena likija suala la kufiwa achana na waislamu watakuzikia ndg yako hata ukiwa huna shilling 100, waislamu hawana mbwembwe katika masuala ya msingi, kwenye Dini.
Huyu Dada Paula inaonyesha ni msomi aliyeelimika (siyo wale wasome vyeti wa kuongea kiswanglish) maana akikuona huelekea kuwa muelewa anakuacha kama ulivyo (hatakagi ujinga kabisa) kama na nje ya jukwaa yupo hivi basi mumewe amepata mke mwema.Paula Paul
sherehekea sikukuu yako/yenu vile uwezavyo, hata kama itagharimu fedha ila kikubwa ni kuifurahisha nafsi yako.
nmependa ukimya wako wa kuacha kuendeleza mjadala.
Kuna mikoa hapo kaskazini wanaanzia M etiMahari isizidi laki... Zaidi ya hapo, nyuma geuka, mbelee tembea, na usigeuke nyuma, utageuka jiwe la chumvi..
Thank you, Kitombise.Paula Paul
sherehekea sikukuu yako/yenu vile uwezavyo, hata kama itagharimu fedha ila kikubwa ni kuifurahisha nafsi yako.
nmependa ukimya wako wa kuacha kuendeleza mjadala.
Umeligundua hilo. Sipendi kuendelea ku-argue na mtu huku nikijua siwezi kubadili mtazamo wake.Mkuu, Mbwembwe za chochote zinasababishwa na wahusika wa jambo lenyewe
Huyu Dada Paula inaonyesha ni msomi aliyeelimika (siyo wale wasome vyeti wa kuongea kiswanglish) maana akikuona huelekea kuwa muelewa anakuacha kama ulivyo (hatakagi ujinga kabisa) kama na nje ya jukwaa yupo hivi basi mumewe amepata mke mwema.