Tuliooa kwa mahari ndogo tuje tuseme lolote juu ya jambo letu hili

Baki hivyo hivyo akitokea msamaria atakufungulia hiyo code
Naomba usinifanyie hivyo!! utatesa hisia zangu maana nimekuwa na hamu ya kujua, yaani tungekuwa tunaonana ana kwa ana ningekununulia chochote ili unifungulie hiyo code maana umenipa hali ya kudadisi kisha unaniacha hewani. Kutegemea msamalia ni sawa na kucheza bahati nasibu (kuna kupata na kukosa) hivyo nakutegemea wewe tu!!
 
Doh aisee, goli 3 mkononi manake ni watoto 3
 
Ahsante sana kwa kunifungulia code, mwenzio nina kichwa kizito wala sikuwa na wazo hilo kabisaaaa. Kuna baadhi ya wanawake wana mashine nzuri yaani hata kama amezaa unakuta mashine inabana kuliko hata wasichana wadogo sasa mimi naona wewe ni mmoja wapo, mbali na mashine pia inaonekana mambo unayajua na ni msafi sana. Huenda jamaa alitest akanogewa jumla. Hongera sana mpo wachache!!

Noelia, mbona umenishangaa!!?
 
😲😲 Kweli mbongo mpe heading content atajaza mwenyewe, umeingia deep sana huenda hata hizo zisiwe sababu, Ni ngekewa tu
 
Samahani kama umekwazika."Ngekewa" ni mnyama mwenye bahati ya kupendwa na wanyama pamoja na ndege wengine, lakini pamoja na kupendwa bado pia ni kitoweo cha baadhi ya wanyama kama nyoka aina ya chatu, anakonda, chui nk. Hivyo pamoja na kupendwa kwa ajili ya company pia anapendwa kama kitoweo.

Maana yangu ni kuwa kuna tofauti ya "ngekewa" ya mchezo wa kubahatisha na "ngekewa" ya mapenzi. Ngekewa ya mapenzi inahusisha pia hisia tamu na zenye kuvutia baina ya wapendanao, hivyo ni "ngekewa" mtambuka yenye sababu zilizotukuka kama nilivyoeleza hapo juu. Kwa ufupi ni kuwa, kama ungekuwa wa hovyo-hovyo hiyo "ngekewa" usingeipata.
 
Asante ikarahansi sio kwa ushawishi huu doh! Uwe na usiku mwema
 
Inapendeza, hata hao wanawake waolewe pia na wanaume wawili au watatu ikipendeza wa4, kwani kuna shida pahala!
Shida ipo kwenye asili maana mwanamke hawezi kuolewa na wanaume wanne maana atateseka kwa kuwa hata akipata uja uzito ni vigumu kujua ni wa nani kati yao. hata kama ataamua kuwazalia kwa zamu bado hataweza maana kila uzao ni lazima apumzike miaka miwili hadi mitatu sasa huyu wa nne atazaliwa lini.

Kingine mwanaume ana sifa ya kumiliki siyo kumilikiwa (ni asili imeamua) angalia hata wanyama. Suala la Mwanamke kulala na wanaume wanne kwa wakati mmoja linawezekana kibiashara kama mwanamke huyo ni Kahaba, lakini kwa ndoa halikubaliki, Hata angekuwa Kaka yako anaingia kwenye ndoa ya mke mwenye wanaume wanne usingemuelewa.
 
Nitakapotaka kuoa wakinipiga bei kubwa nitawauliza..TOFAUTI NA UCHI, KITU GANI CHA ZIADA ALICHONACHO?
Kwani wewe unaoa uchi ama?? Tofauti na uchi kingine unaoa nini??????
 
Huyu anachangamsha jukwaa tu, hawezi kamwe kuuliza hili swali ukweni maana atasababisha hata waliomsindikiza wamkimbie kwa aibu!!
 
Najua alijiuliza kimoyomoyo...atamuuliza nani wamkate maskio,lkn mtu anaefkia hatua ya kutamka hv sijui ni wa aina gani,mdhalilishaji na hana akili!
 
Ukiona hivyo ujue huyo siyo Mwanaume bali ni mvulana, maana Mwanaume hawezi kuuliza au kuwaza ujinga kama huo!!
 
Back
Top Bottom