Kwa kweli Leo nimewaza sana baada ya Jana kulala mapema sana nikiwa na mke wangu na mtoto wangu wa miaka miwili pamoja na house girl.
Sisi wenye chumba na sebule tuna changa moto sana hasa wakati unahitajita kufanya mapenzi na mkeo wa maisha wakati huo msichana wa kazi amelala sebuleni au yuko macho Bado anaangalia Tv, na sisi wana ndoa tuko chumbani tunahamu yakufanya mambo yetu tulale mapema.
Hata aina ya vyumba vyetu ni vidogo sana kwa sisi wapangaji kuna mda unamwambia mwenzio tusubili usiku wa manane dada wa kazi alale lakini mnaweza kusubili na hamu ziko juu, pia mambo ya mapenzi yanahitaji kujiachia sana.
Je wenzangu mnao ishi kwenye chumba na sebule na dada wa kazi analala sitting room huwa mnafanyaje kutimiza haja zenu za mapenzi na wenzi wenu bila kuwa na wasiwasi labda kelele atasikia huyo dada, pia hizo faragha mnazifanya pia mda wa mchana.