Mkuu wewe wasema vyumba viwili?
Mi nilkua na chumba kimoja kikubwaa (ilkua sebule ya hiyo nyumba), nikakigawa na pazia upande wa kulala na sebule, sasa baada ya famili kuongezeka tulipata matwins ikalazimu tuwe na msaidizi, alikua ndugu yake wa age kidogo chini ya wife na ni kama rafiki ake,
Sasa ikifika saa 6 ndo mda wetu sasa na kenyewe kalishashtukia mchezo kanajifanya kulala mapemaaa ili tuanze yetu, kuna kipindi inapigwa gemu hadi tunasahau tupo na watoto, mara paaap mmoja kadondoka chini.
Kesho yake hausegirl hana mbavu mda wote kucheka tuu (hapo mi sipo wapo wao tuu home wife alikuja niambia hayo tena baada ya huyo mdada kuondoka) mke wangu kumuuliza kulikoni yeye hasemi hadi kesho yake ndio anamwambia yaliyotokea usiku wa jana yake alikua anaskia kila kitu, wife akadai angeniambia mapema angekosa mechi kumuogopa dada wa kazi, mi sijui chochote wife anajua tunapigwa chabo na dada katulia tuu.