Kila mtu anaishi anavyopenda jamaniMke na mume wawe wanaingiza kipato alafu mpange chumba na sebure tu? Haiwezekani yaani hata mke akiwa mama ntilie basi wangetafuta hata vyumba vi 2 na sebure uswahilini wakakaa kwa nafasi japo kidogo! Ninachokiona hapa ni uvivu tu wa malezi hakuna cha saa 4 usiku wala nini
Wengi tuna dhana kuwa ni jukumu la mwanaume kuhudumia nyumbaTatizo kubwa wanawake wengi hawana msaada kwenye kushare matumizi ya kulea familia bado wamekariri hilo ni jukumu la mwanaume.
Kama wote wawili mna vijikazi vya kusogeza siku sidhani kama mnashindwa kupata walau apartment ya vyumba viwili na sebule na kitchen au hata vyumba 3.
Tatizo nimeliexperince wanawake wengi ingawa siyo wote ni selfish sana hawana msaada wa kuchangia kipesa kwenye familia.
Huyohuyo mnayekaa naye chumba na sebule usishangae kukuta kwao anajenga.
Na miguno mnaizima na sauti ya juu ya nyimbo za kwaya, hasa hasa rozi muhando Nibebe.Mtoto akilala hamisheni mechi sakafuni, kitandani chaga ni norma sometimes
nunua redio au tv mbili yan iwepo ya seburen na ya chumban yan ww usiwe na mazoea ya kukaa seburen, ukirud unakaa kidogo seburen unaingia zako chumban, ukianza mzigo saut ya juu kidogo as if kawaida yako kumbe unafanya yako.Kwa kweli Leo nimewaza sana baada ya Jana kulala mapema sana nikiwa na mke wangu na mtoto wangu wa miaka miwili pamoja na house girl.
Sisi wenye chumba na sebule tuna changa moto sana hasa wakati unahitajita kufanya mapenzi na mkeo wa maisha wakati huo msichana wa kazi amelala sebuleni au yuko macho Bado anaangalia Tv, na sisi wana ndoa tuko chumbani tunahamu yakufanya mambo yetu tulale mapema.
Hata aina ya vyumba vyetu ni vidogo sana kwa sisi wapangaji kuna mda unamwambia mwenzio tusubili usiku wa manane dada wa kazi alale lakini mnaweza kusubili na hamu ziko juu, pia mambo ya mapenzi yanahitaji kujiachia sana.
Je wenzangu mnao ishi kwenye chumba na sebule na dada wa kazi analala sitting room huwa mnafanyaje kutimiza haja zenu za mapenzi na wenzi wenu bila kuwa na wasiwasi labda kelele atasikia huyo dada, pia hizo faragha mnazifanya pia mda wa mchana.
Walahi nikiwa ukweni hata sina migunoNa miguno mnaizima na sauti ya juu ya nyimbo za kwaya, hasa hasa rozi muhando Nibebe.
Unagugumia kimoyoyo?Walahi nikiwa ukweni hata sina miguno
HA! HA! HA!Hahahaaaa bora wewe una chumba na sebure mkuu, kuna wengine tuna kimoja tu na mama mkwe kaja kusalimia hii wiki ya sita sasa.
mtaalam 😛😛😛Mtoto akilala hamisheni mechi sakafuni, kitandani chaga ni norma sometimes
Hata kama ila ukweli lazima muambiwe! Kuishi mnavyotaka au kujitia aibu? haya sasa mtu anakosa amani ya kushiriki tendo na mkewe na hapo ukute ana watoto wa kike na kiume,wakati wewe unamshughulikia mkeo ndani huko sebureni msichana wa kazi nae anashughulikiwa na kavulana kako ni aibu iliyoje hiyoKila mtu anaishi anavyopenda jamani
Hata kama ila ukweli lazima muambiwe! Kuishi mnavyotaka au kujitia aibu? haya sasa mtu anakosa amani ya kushiriki tendo na mkewe na hapo ukute ana watoto wa kike na kiume,wakati wewe unamshughulikia mkeo ndani huko sebureni msichana wa kazi nae anashughulikiwa na kavulana kako ni aibu iliyoje hiyo
Mimi na mke wangu ni watumwa ila hatuna uwezo wa kupanga nyumba nzima.Well said madam, usikute na huyo mkewe ni mama wa nyumbani tu lakini anashindwa kufanya shughuli za nyumbani anahitaji house girl ilihali hata pakulala hawana.
Kama mke na mume wote ni Watumishi Kwanini hawapangi nyumba mzima??
Kaaa asubuhi yote hii
Wengine wanakuwa walevi kwa kwenda kukill time barMimi na mke wangu ni watumwa ila hatuna uwezo wa kupanga nyumba nzima.
Tuna mtoto wa miezi 7. Tuna Dada wa kazi kwaajili ya kumuangalia mwanetu. Akifika miaka miwili, sihitaji Dada kwakweli.
Unakuta katandika godoro wakati huo nahitaji kutazama kipindi kwenye TV. Ni shida kwakweli
Hongera Mkuu lakini ukweli ndio huo,mnajidhalilisha sana tena hapo unakuta una watoto wa kike na wa kiume wote unawalaza sebureni na msichana wa kazi, ipo siku msichana atamfunza kijana wako wa kiume kumpa show unayopewa na mkeoWw kama unataka uwe na vyumba vingi ndio uweke hg hayo ni maisha yako
Halaf kama unafanyakazi utakuwa unajua huwezi kumuacha mtt daycare uende kazini maana hamna daycare inafanya kazi zaidi ya saa 10 na nusu
Halaf ukisikia watu wanafanyakazi usidhani kazi zote ni za kulipwa kipato kikubwa wengine tunasafisha vyoo tu hatuna uwezo wa kupanga vyumba zaidi ya viwili