Tuliopanga chumba na sebule na tuna familia na house girl, tukutane hapa.

Hongera Mkuu lakini ukweli ndio huo,mnajidhalilisha sana tena hapo unakuta una watoto wa kike na wa kiume wote unawalaza sebureni na msichana wa kazi, ipo siku msichana atamfunza kijana wako wa kiume kumpa show unayopewa na mkeo

Hamna ubaya kwani kuna tofauti gani kati ya hg na msichana mwingine wa barabarani akimpa mwanangu show?!
 
Haya maisha tu kaka ipo siku tutakuwa na nyumba zetu
 
Sasa kama wewe na mkeo ni watumwa si mngekua Caribbean Island saa hizi? Maana watumwa walikua wakipelekwa huko enzi za ukoloni, tuambie labda wewe na mkeo mnafanya shughuli gani vinginevyo usijitetea kwa jina la kujidharirisha la utumwa
 
Hamna ubaya kwani kuna tofauti gani kati ya hg na msichana mwingine wa barabarani akimpa mwanangu show?!
Kumbe naongea na mtu asiye na akili timamu anayelea mtoto mwenye mke ndani ya chumba chake na sebure, basi sawa
 
Hii ndiyo point ya siku
 
mtoto anamiezi 7, mkeo c bado ananyonyesha?! Mnagegedanaje ilhali mama watoto ananyonyesha?@
 
Tatizo humu watu mnajifanya maisha yenu ni bora sana


[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo lako kudhani kila mtu anasotea mbuyu wakati ni mpana kiumbo katu hautofika mbali! Kwenye kurekebisha turekebishane tu bila ya kutaka kuhoji maisha ya mtu
 
Mbona zipo sabufa mpaka za elfu 30?!..
 
Kama unafanyakazi mpaka saa mbili usiku na bado wewe na mumeo hamuwezi kupanga hata vyumba viwili na sebule ni bora wewe uache kazi ulee watoto tu!
 
Tatizo lako kudhani kila mtu anasotea mbuyu wakati ni mpana kiumbo katu hautofika mbali! Kwenye kurekebisha turekebishane tu bila ya kutaka kuhoji maisha ya mtu

Huwezi kusotea mbuyu bwana na uchumi unao


Ww si ndio uliolewa na rafik wa mumeo?!
 
Pole mkuu wakati wa game press mute bottom.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…