Ungeyajua yote hayo usingemuita mwenzio masikini asiyekuwa na akili kea kuishi kwny chumba na sebule na beki 3Mungu hakupi vyote na hakunyimi vyote pia!
Masihala hayo, najua unatania!!Hahahaaaa bora wewe una chumba na sebure mkuu, kuna wengine tuna kimoja tu na mama mkwe kaja kusalimia hii wiki ya sita sasa.
Yes...Joseverest
Sebure>>>SebuleWatu masikini kwa kujitwisha mizigo! Sasa wewe una chumba na sebure msichana wa kazi wa nini? Kwa ukubwa gani wa nyumba mlionao mpaka mahitaji msaidizi wa kazi? Siku hizi Day care kibao Sasa si bora kama mna watoto muwapeleke Day care huko wakashinde kuliko kulea mtu ambae utamlisha, utamvisha,akiugua utamuuguza na zaidi ya yote utakua na kazi ya kumchunga tabia na mshahara juu
Pole mkuu kwa changamoto upitiazoKwa kweli Leo nimewaza sana baada ya Jana kulala mapema sana nikiwa na mke wangu na mtoto wangu wa miaka miwili pamoja na house girl.
Sisi wenye chumba na sebule tuna changa moto sana hasa wakati unahitajita kufanya mapenzi na mkeo wa maisha wakati huo msichana wa kazi amelala sebuleni au yuko macho Bado anaangalia Tv, na sisi wana ndoa tuko chumbani tunahamu yakufanya mambo yetu tulale mapema.
Hata aina ya vyumba vyetu ni vidogo sana kwa sisi wapangaji kuna mda unamwambia mwenzio tusubili usiku wa manane dada wa kazi alale lakini mnaweza kusubili na hamu ziko juu, pia mambo ya mapenzi yanahitaji kujiachia sana.
Je wenzangu mnao ishi kwenye chumba na sebule na dada wa kazi analala sitting room huwa mnafanyaje kutimiza haja zenu za mapenzi na wenzi wenu bila kuwa na wasiwasi labda kelele atasikia huyo dada, pia hizo faragha mnazifanya pia mda wa mchana.
Bila Shaka unalala kwa, jiraniHahahaaaa bora wewe una chumba na sebure mkuu, kuna wengine tuna kimoja tu na mama mkwe kaja kusalimia hii wiki ya sita sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kama mazuri ila vinachekesha tu mkuu nisamehe sanaUmenikumbusha story Fulani.
Familia ilikuwa na watoto wawili wadogo wakufuatana ,, walikuwa na chumba kimoja kikubwa na kitanda kikubwa ambacho walilala wote watatu. Baba na mama walikuwa wakisubir watoto walale ndo wao waanze kugegedana kiuangalifu,, siku moja mechi ilikuwa Kali mpaka wakawasukuma watoto wakaanguka ikabidi mechi isitishwe wawapandishe watoto kitandani ,, basi wakatulia kama moja hiv wakahis watoto washalala tena ikabid waanze mechi upya kabla mechi haijanoga wakasikia mtoto mkubwa anamwambia mdogo wake " John jishikilie vizuri wameanza tena"
Hapana nimerudisha mpira kwa kipa sema nahofia mdingi siku akijitwika vyombo vyake atanitolea uvivu mana akili zake anazijua mwenyewe.Bila Shaka unalala kwa, jirani
Usione tunachati humu ukadhani wote tupo sawa...wengine maisha yetu yanatia simanzi.Masihala hayo, najua unatania!!
Asante kwa kunifurahisha japo sio mazuriiiiHahahaaaa bora wewe una chumba na sebure mkuu, kuna wengine tuna kimoja tu na mama mkwe kaja kusalimia hii wiki ya sita sasa.
Hivi uko serious kweli au?Usione tunachati humu ukadhani wote tupo sawa...wengine maisha yetu yanatia simanzi.
Ahhahahahaha kwenye utamu akili hua zinazamaMkuu wewe wasema vyumba viwili?
Mi nilkua na chumba kimoja kikubwaa (ilkua sebule ya hiyo nyumba), nikakigawa na pazia upande wa kulala na sebule, sasa baada ya famili kuongezeka tulipata matwins ikalazimu tuwe na msaidizi, alikua ndugu yake wa age kidogo chini ya wife na ni kama rafiki ake,
Sasa ikifika saa 6 ndo mda wetu sasa na kenyewe kalishashtukia mchezo kanajifanya kulala mapemaaa ili tuanze yetu, kuna kipindi inapigwa gemu hadi tunasahau tupo na watoto, mara paaap mmoja kadondoka chini.
Kesho yake hausegirl hana mbavu mda wote kucheka tuu (hapo mi sipo wapo wao tuu home wife alikuja niambia hayo tena baada ya huyo mdada kuondoka) mke wangu kumuuliza kulikoni yeye hasemi hadi kesho yake ndio anamwambia yaliyotokea usiku wa jana yake alikua anaskia kila kitu, wife akadai angeniambia mapema angekosa mechi kumuogopa dada wa kazi, mi sijui chochote wife anajua tunapigwa chabo na dada katulia tuu.
Hahaha una akili za kijingaNatamani ningekuwa mtto wenu
Umenikumbusha story Fulani.
Familia ilikuwa na watoto wawili wadogo wakufuatana ,, walikuwa na chumba kimoja kikubwa na kitanda kikubwa ambacho walilala wote watatu. Baba na mama walikuwa wakisubir watoto walale ndo wao waanze kugegedana kiuangalifu,, siku moja mechi ilikuwa Kali mpaka wakawasukuma watoto wakaanguka ikabidi mechi isitishwe wawapandishe watoto kitandani ,, basi wakatulia kama moja hiv wakahis watoto washalala tena ikabid waanze mechi upya kabla mechi haijanoga wakasikia mtoto mkubwa anamwambia mdogo wake " John jishikilie vizuri wameanza tena"
Huu uzi leo nitakufaaUmenikumbusha story Fulani.

Yaan nyie haya maneno mnayatoa wapi hahahahahaHii ndio sababu kuu nyumba nyingi zina wajane, mwanaume hawezi kuishi miaka mingi ni lazima afe kabla ya muda wake, yani badala ya kuishi anageuka mtumwa wa familia.
Ni lazima afe mapema tu.
NatamaniHahaha una akili za kijinga
NatamaniHahaha una akili za kijinga
Weee miezi saba anakuwa ashapona,,,huku juu anavaa sidiria tumtoto anamiezi 7, mkeo c bado ananyonyesha?! Mnagegedanaje ilhali mama watoto ananyonyesha?@