Tuliopata kazi na kupangiwa Halmashauri njooni tushauriane

Tuliopata kazi na kupangiwa Halmashauri njooni tushauriane

Kwanza kabisa, inabidi ujue mwenyekiti wa kijiji ni boss wako, anaweza kukupiga hata makofi akiamua 😊😊

Kuhusu michongo, tumia akili binafsi kulingana na eneo husika, maana majungu ni mengi sana huko Tamisemi...
 
Dogo wandengereko wanasema "You eat where you work".
Fanya kazi dili zitakuja humo humo kazini. Ishu ya msingi ikitokea dili, usiipige peke yako tafuta cheni, kila mtu apate japo kidogo kidogo.
Usiendekeze sana ushikaji kazini, watu wanaotaka anguko lako wapo hapo hapo kazini. Usiruhusu watu hasa wafanyakazi wenzako wakujue jue sana.
Yaani usieleweke kiufupi.
 
Back
Top Bottom