Raha ya changamoto ziwe surprise na sio kujipanga nazo 😂
Najiona ntakavyokaa mwezi mmoja😅Raha ya changamoto ziwe surprise na sio kujipanga nazo 😂
Cha msingi n kupata kazi, hayo mengine utapambana nayo huko huko 😂Najiona ntakavyokaa mwezi mmoja😅
KwakweliCha msingi n kupata kazi, hayo mengine utapambana nayo huko huko 😂
Kwa kada yangu Nmeingia na TGS Ekwani unalipwa mshahara gradi ya ngapi kwa hii ajira ?
Safi, hela nzuri kwa kuanzia, na kama ukijiendeleza unafika mbali, usichezee kazi sasa, na kuwa muangalifu, huko utakunana na vizee vinapata nusu ya kwako na wamefanya kazi miaka kibao, kuwa muangalifu usiwadharau ila usiwazoee sana, watakuharibia kaziKwa kada yangu Nmeingia na TGS E
Uko lga piaNajiona ntakavyokaa mwezi mmoja😅
YeahUko lga pia
Hawa jamaa noma ,yaani hapa nilijenga mwaka jana na nililipia kibali. Baada ya hati yangu ya kiwanja kutoka ,wamesema niende tena kulipia ili kupigwa mhuri.Ukiwa afisa ardhi kwa Halmashauri, uhakika wa kununua Subaru sj5 unao
Nilianza mkuuHata kazi hujaanza baado unaulizia michongo
Si ufanye kazi michongo itajiseti
Nilimaanisha michongo na fursa mkuuUmeajiriw Tuu 😮 Ushawaz kutajirik na ajila
Sis tupo 12+years hatuna mbele wa nyuma tunaish si kwa tamaa
Kua makini kwanza usitolewe chamboNilianza mkuu
Nilikujibu ovyo kwa lengo moja, shukuru Mungu umepata hio kazi, kuna wenzio wana 10yrs plus mtaani na hawaelewi kazi hakuna, mambo yamebana !!!! Kapambane huko huko ulipobahatika......!!!!Punguza Makasiriko kijana, sijaongea kitu cha kukera hapo..
Umeelewa uzi vizuri lakini?Nilikujibu ovyo kwa lengo moja, shukuru Mungu umepata hio kazi, kuna wenzio wana 10yrs plus mtaani na hawaelewi kazi hakuna, mambo yamebana !!!! Kapambane huko huko ulipobahatika......!!!!