Bambalaga01
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 304
- 646
Ukikopa hela usinunue gari anzisha biasharaHabari wakuu!
Naomba kujua changamoto ya kufanya kazi halmashauri ambazo ziko chini ya TAMISEMI na kushauriana namna ya kuukwepa umasikini kwa kupeana michongo ya fursa mbalimbali.
Ahsante.
Sipo kwenye hiyo mifumo ya wizi mkuuPiga kazi acha akili za upigaji sw. Ila sio mbaya ww iba tu sis tumeambiwa tuwasute mpk muone aibu sw.
Kazi ni kipimo cha utu
Punguza Makasiriko kijana, sijaongea kitu cha kukera hapo..Acha kazi, pumbavu
Mm nategemea Mshahara tu jimama langu linapesa fisadi
Toa ushauri kwa mdogo enuMm nategemea Mshahara tu jimama langu linapesa fisadi
Afungue duka hapo shuleni au kituo cha afyaToa ushauri kwa mdogo enu