Binkcarter
JF-Expert Member
- Jul 23, 2014
- 413
- 460
Mi nlimkosea kidogo sasa kuomb yaishe uku baby baby nataja nying nashanga vuup la uso la shavu
Mwili wang mwenyew kama mau fundi
[emoji16][emoji1544] umenishinda!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nlimkosea kidogo sasa kuomb yaishe uku baby baby nataja nying nashanga vuup la uso la shavu
Mwili wang mwenyew kama mau fundi
Yaani! Nimecheka utadhani mazuri!Dunian kuna wanawake magaid
Yaani! Nimecheka utadhani mazuri!
Inawezekana ni kweli maana kuna wanawake mabaunsa kweli aisee...Me naona jamaa analeta story za kupass time tu. [emoji16][emoji16][emoji38]
Hahahaa. Umenikumbusha yule mama daaah.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanawake wengine sio,wanapigana na majambazi na kunyang'anya silaha kabisa
Kama uliomba pooh kwenye ngumi bila shaka kwenye papuchi ulipewa masharti ya kutokojoa mpaka atosheke yeye na ulitii [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji3][emoji3][emoji3]Alikua anachura hatar yan
Sema ndo hvo nkifanya Nyooo...nimechezea banzi
Mpaka ukaangukia beseni la vyombo vichafu[emoji1] [emoji1] uyo dada alikua mcheza judo au boxer?[emoji3][emoji3][emoji3]Nkikumbuka yale makof nataman nmkimbie
Kuanzia leo naacha kuongea sana[emoji1]Naisi nlikurupuka maana wangu alikua anaongea mfan hakuna
Mpaka naogopa kutembea nae
Na we ni wa kichagaNi mtoto wa kisukuma