Tuliopigwa makofi na mademu zetu nakuachana ingia hapa

kupigwa na mwanamke ni ufala, kupiga mwanamke ni ufala mara kumi, mwanamke hapigwi ngumi, anapigwa ban tuu ya baadhi ya huduma na huduma upewazo unazikata kwa muda
 
Yey alikua na uwezo kivyake na mim nlikua na uwezo
 
Hahaha alikumamata [emoji23] [emoji23] nimecheka sana hili neno limenikumbusha mbali
 
Back
Top Bottom