Tuliopitia maisha ya "Saidia Fundi" tukutane hapa

shukrani sana mkuu bora yako 70k mimi nilipigwa 150k na nikatelekezwa site maana tulipiga kambi kambi pale
nikarudi home na fuso la pumbaπŸ˜€πŸ˜€
🀣🀣🀣 fuso la pumba

Pole mkuu muhimu maisha yanasonga
 
Mmekutana na virenga wa migodini nao?? [emoji16]
 
Picha linaanza niliambiwa pima ndoo 120 za mchanga jamaa akawasha fegi hapo bado kuchanganya na kuanza kumsogezea,nakumbuka hii siku nilivyopanda kitandani hapo hapo nikasikia jogoo anawika kwamba kumeshakucha siku nyingine inaanza.

Mwamba pole sana hapo nimecheka uliposema ulipolala jogoo akawika manake ukujua umelala lala vp gafla asubuhi hii hapa na kazi bado inaendelea so unatakiwa ujitoe kwa bed uende mishe 🀣🀣🀣[emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] waiter tuongezee bapa tupoze machungu na mwamba hapa
 
Nakumbuka kuna jamaa alikuwa anamsaidia fundi ss kuna siku fundi mkuu akawa anaumwa yule saidia akaona hii ndiyo chance sasa ya kupiga hela bila utata utata wala kupunjwa, boss akauliza muliofika vp munaweza kusogeza kazi mbele? Wasaidizi ndiyo! Boss akawapa ukuta wajenge ila kwa sharti ukuta unyooke wakakubali wakapeana kuta za kujenga, saidia mmoja akapiga shoo fresh akamalizw huyu mwingine doooh! Ukuta ulipinda hatari akaishia kuambiwa abomoe daaah! Ila boss alikuwa muungwana akampa kifuta jasho, akaulizwa unafahamu kobilo akasema sijui... pale ndiyo nikajua kuna masaidia wengine wameridhika walipo yaani kujiongeza kwao no big deal... [emoji481][emoji481][emoji481][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
 
Likizo moj ya advance narudi tu home nakuka jiran kwet wanaset msingi waanz kujenga
Kwakua b mkubwa hana hela ya tution Wala Nini ikabidi aniunganishe na mafundi

Nilipiga kazi mwez mzma
Kimbembe kweny kumimina zege kmmak umaskin mbaya jamani

Licha ya kuaibik kwa madem kitaa maan nyumb ipo barabarani,
Nilikuwa na makovu mwili mzma,
Mikono imechanika n matofari Hadi so poa
 
Ombea usikutane na fundi alievurugwa πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna saidia fundi alikuwa anaitwa "mke wangu" na fundi, yani haya maisha watu wanapitia mengi sana.

Mdomo nje kama kibudu Cha mbuzi uongo🀣
 
Saidia fundi Dubai analipwa lakini Tisa Hadi 1.2M bila tatizo.
Maisha Matamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…