Subili na mimi niwape yangu ingawa ni ya tofauti lkn ni saidia fundi pia
Wakati nimemaliza form six pande za mbeya (old airport) nilikuwa npo nyumbani muda wote nikasema ivi siwez pata sehemu ya kushinda ili niweza kupata pesa ya kununuwa smartphone maana home walikataa kuninunulia adi matokeo yatoke ndo nitapewa, basi nikaongea na mama kuhusu kunitafutia kazi ya kufanya baada ya siku mbili iv kuna rafiki yake flani iv yeye ni fundi umeme basi nikapata connection so nikawa naenda kufanya KAZI lkn zilikuwa ni zile za kawaida yan kutengeza vifaa vya umeme siku zikaenda apo nikaanza kucheza na mchango kabisa pale soko la sido per day ilikuwa 2000 alafu tupo watu kama 145 baada ya week iv jamaa akapata site pande za Isyesye kulikuwa na mjengo unalimziwa kujengwa unavyumba kama 15 so ikabid tuchimbie kwanza alafu ndo tufanye kusuka umeme sasa ikabid mm ndo nipewe KAZI ya kuchimbia bomba/ Condut so kesho yake nikaanza KAZI apo vifaa kama vyote (nyundo, vishoka vidogo, tindo, na nyundo kubwa) aisee kufikia site kumbe mjengo ni wa tofali za block yan iyo ratio yake sio poa maana jamaa alikuwa na pesa hatari
So nikaanza kuchimba ukuta yan kila nikipiga ni cheche tuu zinatoka apo kila chumba kina chimbiwa njia ya soket ,switch pamoja na Tv soket yan nilichimba mpaka mkono ukawa unatetemeka daah apo ndo kwanza simaliza ata chumba kimoja kuna muda uchanga uliingua jichoni daah Ayo maumivu yake sio poa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji856]
Baada ya masaa kama tisa nikawa nimemaliza chumba kimoja yan apo hoi daaha nikasema iv kwa nn najitesa ivyo si bora niache tuu [emoji119][emoji119][emoji119] kumbe nilikuwa nimejiweka kwenye mkataba ambao nisingeweza kuacha ile KAZI maana nilikuwa na cheza mchango so jina langu kulikuwa la 136 out 147 alafu icho kipindi ndo tupo jina la 89 but kwa siku wanatoka watu wawili aisee kwaiyo nikiacha tuu pesa yangu imekwenda na maji [emoji856][emoji856][emoji856] daaha ikabid nikomae tuu kuchimbia yan kuna siku nilikata moto maana nilikuwa napanda ngazi alafu kishoka nimekiweka juu ya ngazi sasa wakati na panda kikashuka yani kilinipiga kichwani pale pale nilianguka but baada ya masaa iv nilizinduka na akuna aliye jua maana nilikuwepo mm mwenyewe tuu so ikanibid nilud nyumbani but fundi alivyo kuuliza vipi leo umefanya vyumba vingapi ikabid nimwambie viwili then akasema Sana dog komaa ili tukabidhi mjengo wa watu kumbe mwenzie ata kimoja sijagusa
Ikapita kama week iv akaja yule boss mwenye mjengo pamoja na watoto wake kumbe mtoto wake mmoja wa kike tulimaliza nae form six daah alishangaa Sana kunikuta kwenye ile hali adi machozi yalimlenga maana nilikuwa mchafu hatari ukiongeza na vumbi la block yan ilikuwa sio poa so akasema jaman
Mariki umekosa nini adi unafanya kazi kama izo nikabaki na jiumauma tuu then akatokea baba yake akasema vp mnafamiana akasema ndio ndo akanitambulisha lkn mshua wake alishangaa Sana then akasema unalipwa shingapi per day nikasema 5000 akaguna akaniambia nitakuwa nakuongezea 10000 lkn naomba ufanye kazi yangu vizuli so siku zikaenda maisha yakawa mazuli lkn kazi kazi ilifika kipindi Abdala kichwa wazi alikuwa asimami maana sio kwa kuchoka Kule
Nilikuja kupokea mchango wangu yan moja kwa Moja nilienda kwa Mtawa pale ilomba nikanunua simu ili kuwa Tecno Boom J8 kwa shilingi 215000/=
NB
Akuna kitu kizuli kama kujiwekea malengo pia ukitumia kitu ambacho umekipata kwa jasho lako kina kuwa na thamani kubwa sana kwako