Tuliopitia maisha ya "Saidia Fundi" tukutane hapa

Tuliopitia maisha ya "Saidia Fundi" tukutane hapa

haya mazingira ni unforgetable kwangu

kuna apartment ilikua inasimamishwa na boss mtasha wa pale town. Kama ilivyo kawaida watoto wa mjini hawakosi connection za madili wakanistua na mimi sikufanya kosa nikaibukia

ilikua ni ishu ya umwagaji zege tu iliyojumlisha wafanya kazi zaidi ya 50 na ndio ilikua mara yangu ya kwanza kufanya kazi na group kubwa la watu ambalo ndani yake hadi wamama na mabinti walikuwepo

Asubuhi mtasha akaja site akatangaza dau kua kila mmoja atamlipa 25k, raia wakaonekana kutoridhika mi nikawa nawashangaa kwasababu ile pesa niliiona kubwa kulingana na idadi ya watu ilivyokua niliamini ni kazi itakayo kamilishwa masaa machache tu.

zikaletwa mashine za kuchanganyia zege na mimi nikachukua chepe nikajiunga kwenye sector ya kupakia kwenye vindoo.

sasa hii zege ilikua inaenda kumiminwa kwenye floor ya pili huko juu, kwa hiyo ukatengenezwa utaratibu wa wabebaji kupanga mstari kutoka chini ambako zege inachanganywa hadi floor ya mwisho ambako zege ilikua inamiminwa

haikua rahisi kwa mmoja mmoja kubeba zege na kupanda nayo hadi juu na ndio maana uliwekwa mstari ambao mtu wa kwanza anampasia zege mtu wa pili mpaka inafika eneo inayo hitajika

Kutokana na kazi kuambatana na wanawake hasa wamama ikabidi iwekwe sheria ya kipimo cha ujazo wa zege kua ni chepe mbili tu ili kutowaumiza

baada ya masaa takribani kama saba hivi baada ya kula lunch watu wakiwa wamejipumzisha kusubiria round ya pili nikasema ngoja nipande juu nicheki tumefikia wapi maana nilikua nahesabu idadi ya mifuko 53 tuliyoitumia nikawa nishafanya estimation kua robo tatu ya kazi kivyovyote itakua imekamilika kutokana na u expert niliopata kwenye kumwaga vizege vya renta

Aisee nilipopanda kule juu nilichoka, kwani nilikuta ile foundation imesukwa kwa namna ya kipekee. Nondo zilisukwa za kutosha halafu space ya kuijaza ile zege kutoka juu mpaka chini ilikua inanifika usawa wa paja na mi nishazoea space ya renta kutoka chini ni inch 5 tu leo hii nimekutana na hii shuguli

halafu ukicheki upana wa lile eneo lilikua ni kubwa sana kiasi cha kufanya kazi tulioifanya ionekane kama ni robo kazi huku eneo kubwa likiwa tupu bila zege

Hapa nikawa nawakumbuka wale wadau waliokua wanadai pesa iongezwe nikajisema daah wale miamba walikua na jicho la tatu walifika hii angle ila kutokana na kujifanya mjuaji nikawapinga
Mlimaliza kazi saa ngapi mwamba?
 
Niliifanya kwa mda wa miez 5 nikiwa nasubr matokea ya kwenda kidato cha tano katika maandalizi ya daw.a

Aisee tulikuwa tunamimina zege, mara kuchimba chamber ,Mara kuchota zege Mara kubeba tofar siku inaisha umechoka balaaa ,afu hapo ukiwaza safar ya kwenda home unafika sa saba usiku.

Nashukuru ilinisaidia kupata ada ya kulipa kidato cha tano na sita na hela ya matumizi pia nilipata ujuzi sahv angalau unaweza jenga hata choo.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Safi sana Mkuu sasa hivi unapiga dili gani?
 
2011 wakati nimeua from 4 basi nikajichangaya kitaa kutafuta mishe basi nikabuka pale chuoni uhasibu Arusha ..kipindi iko hakuna vimbweta vile ..sasa katika moja na mbili nikakutana na fundi mkuu akanipa mchongo huo wa kujenga vimbweta, 20k kwa siku.

Mwamba apo nilikuwa chalii kinoma ndo kwanza 17 hivi ..bas kazi ikaanza ..zege linakorogwa na machine ,halafu ni ndoo mbili ndogo unabeba..dah kubabake nilibeba ndoo nusu nichanganyikiwe ..kwa wastani ile siku nilibeba ndoo siyo chini ya 30 hivi maana nilienda na kurudi non stop mara 15+ ..maana mzigo ushachanganywa hivyo lazima upelekwe na kimbweta kimoja adi kikamilike kinakula ndo za kushato. Saidia fundi tulikuwa wanne na mimi ndo kijana pekee wengine walikuwa wazee zee hiv hivyo wanachoka fasta. Sema uzuri mmoja katika kubeba zile ndo,

kuna manzi mmoja nadhani alikuwa diploma kipindi iko akanionea huruma alikuwa ananipimia kila siku nnavobeba zile ndoo ..akantoa kama teni hiv siku ya kwanza maana tulipiga kazi zaid ya siku kama nane hivi ..yule manzi tukaanza kuzoeana ..sjui ilikuwaje akanielewa fasta hivyo ..siku moja akaniuliza mnamaliza lini kazi nikamjibu hadi vimbweta viishe ..maana vilikuwa vimesukwa na nondo na mbao ..hivyo ni mwendo wa kumwaga zege tu ..

baadae nikachek nikaona vimebak viwili basi siku hiyo tukamaliza ilikuwa ijumaa ..nikapewa mshiko wangu hata yale machungu ya kazi naona yalikwisha aise ..ela bana[emoji3][emoji3] bas nikamfata yule manzi nikamwambia kazi imeisha yee alikuwa discashen na wenzake na mimi nikajiunga hapo sjui hata wanasoma nini ..nilikuwa handsome balaa siyo saiv nmepigika na life ..wale ma manzi wengine wakajua labda na mimi ni mwanafunzi maana nilinawa nikawa msafi fresh ..

yule dem akantambulisha kwa wenzake kuwa ni nani na nilikuwa saidia fundi ..dah wakashangaa kinoma ..sema ndo ivyo ..nikaamweit yule manzi adi akamaliza discusheni ..baadae nikaanza shuka naye mdogo mdogo na nilikuwa na baiskeli ya home ..huyo adi Kwake ..kumbe anakaa geto na mwenzake sema alimwacha chuo ..basi mi nikataka kusepa ..akanambia subir akaoge then aje anisindikize ..dah mtoto kaoga ile kurudi nikataka kumpisha ili avae akanizuia mara paap kanga chin kabaki kama alivyo dah sikuamini ..

kichwa chini kikazid nguvu kichwa cha juu ..manzi akanisogelea na mimi nipo tu kavua suruali ya jinsi katoa dushe kaanza nyonya .. na ndo mara ya kwanza nanyonywa niaje[emoji3][emoji3] aise ni balaa tupu ..nilipiga show sema kiuoga balaa na yeye alijua kuwa nimeogopa baada ya show tukatoka ile natoka tu baiskeli haipo ..mama weee nilichanganyikiwa na rafiki yake na yeye ndo anarudi ..nikamuliza kama ameona mtu na baiskeli akasema ndio ..

nikatoka mbio kumtafuta sikumpata ..nilichonipata home ni siri yangu aisee[emoji3][emoji3] sema yule manzi niliendelea kuifaidi hadi siku anasepa chuo ..sjui saiv hata yuko wapi.

Jacklin nakumiss sana najua utakuwa umeshaolewa..[emoji41][emoji41]
rikiboy peleka hii kwenye uzi pendwa
 
Niliifanya kwa mda wa miez 5 nikiwa nasubr matokea ya kwenda kidato cha tano katika maandalizi ya daw.a

Aisee tulikuwa tunamimina zege, mara kuchimba chamber ,Mara kuchota zege Mara kubeba tofar siku inaisha umechoka balaaa ,afu hapo ukiwaza safar ya kwenda home unafika sa saba usiku.

Nashukuru ilinisaidia kupata ada ya kulipa kidato cha tano na sita na hela ya matumizi pia nilipata ujuzi sahv angalau unaweza jenga hata choo.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Angalau wewe umeonyesha kushukuru sio wengine wanaponda tu.
 
Dah jengo la Benjamin mkapa likiwa linajengwa nilikuwa saidia fundi,kuna siku nilikuwa empty mfukoni nikaona njia rahisi ni kuiba misumali nikauze,ile naiweka kwenye rambo mhindi akatokea na kuanza kunivizia anikamate nilijifanya sina ujanja ghafla nikamtoka huku akiita mwizi nikafanikiwa kutoka nje ukawa ndio mwisho wa saidia fundi sikurudi tena baada ya wiki moja kupita yule mhindi(babu tumbo)nikasikia kaanguka chini kafariki.
 
Nimekumbuka mwaka Fulani nilikuwa na washkaji kwenye site moja jengo la serikali kufika pale asubuhi tukamtafuta injinia mwenyew atupe kazi.

Injinia akatuambia wasaidizi wametosha labda niwapatie kazi nyingine ndogo mtaipiga chap chap mchukue chenu akatuonesha eneo lenyewe lilikuwa la kutoa kifusi kweli kuangalia eneo lenyewe kweli tukakadilia masaa matatu tunachukua chetu tulikubaliana elfu 15 watu watatu tuliiona nyingi.

Tulifanya ile kazi zaidi ya masaa matano lakini kazi haimailiziki kifusi kilikuwa kimejishona chini ilibidi tumfuate yule bro atulipe nusu kazi bro anakataa anasema kama vipi hii kazi mtaendelea nayo hadi kesho sisi tukipiga hesabu tunaona tena ni hasara yani turudi kesho kwa kazi ya elfu tano.

masaa yalikuw yanaenda kazi haisogei kwanza yule bro anatuambia mnatoa kifusi cha juu juu tu nataka mwende chini hapo ndo tulichoka kabisa tukakimbia kazi
Hahahahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha nimekumbuka mbali kinoma, kipindi iko Nokia Express music na waptric ndo zilikuwa zinakimbiza [emoji23][emoji23]
Daah niliwatesa Sana pale IYUNGA na hii simu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] candy shop na in dar club zilikuwa zinabamba Sana kwenye hivyo visimu[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Kwa upande wangu kazi hii ilinisaidia kukua kiakili, pale fundi alipokwepa jukumu lake na kunikabidhi mimi alikuwa ananipa ujuzi bureee, so pale alipohitajika mtu ambae anakitu cha ziada basi lazima niwepo.

Mafundi walikuwa wananitafuta hadi nyumbani wakipata kazi, Japo nilisha achana nazo kitambo ila nashukuru Mungu kwa kunipitisha uko.
 
Picha linaanza niliambiwa pima ndoo 120 za mchanga jamaa akawasha fegi hapo bado kuchanganya na kuanza kumsogezea,nakumbuka hii siku nilivyopanda kitandani hapo hapo nikasikia jogoo anawika kwamba kumeshakucha siku nyingine inaanza.
[emoji38][emoji38] nimecheka sana..kwamba bado kuna kuchanganya + kusogeza.
 
Mlimaliza kazi saa ngapi mwamba?
Mkuu hapo nimesimulia nusu tu hii kazi ilikua na shughuli sio ya kitoto

Ilifika wakati ukaanza mzozo kati ya wanaume na wanawake kua kazi haiendi kutokana na kipimo cha zege kua kidogo hivyo round ya pili baada ya lunch tutakua tunajaza

Wamama wakawa wabishi kua hawawezi kubeba huo ujazo so ikatubidi tuongeze kipimo kidogo tukaweka koleo tatu ila sio kwa level ya kujaa

Basi kazi ikaendelea na dakika zilizokua zikijongea ndivyo nilivyoanza kuyaona mateso. Pale katikati kwenye uchanganyaji zege hatukupewa zile plastic boots kwa ajili ya kukinga cement isidhuru miguu so hapa miguu yote ilikua tayari imeshika cement na kama ujuavyo ratio ya cement ya zege inavyokuaga kali

Nikaona bora ni switch niende kitengo kingine, nikataka niende kwenye msululu kupasiana ndoo za zege lakini nikamuona mwanangu mmoja naye anataka aje kwenye kitengo changu maana zile ndoo za zege zilikua zimelowa zege kwenye mishkio kiasi cha kufanya mikono ya jamaa kuanza kuuma.

Wamama walifunga kanga mikononi kama gloves ili waweze kubeba ndoo bila kudhurika na ile cement iliyoko kwenye vishikizo vya ndoo

Nikaamua niende kitengo kimoja cha kudaka ndoo kutoka floor ya juu mbazo zimesha miminwa hivyo zinatakiwa zirejeshwe chini ili zipakiwe zege nyingine. Kwahiyo mmiminaji wa zege pembeni yake kulikua na mdau mwingine ambaye alikua na kazi ya kuchukua zile ndoo na kuzirusha chini ambapo huko zinatakiwa zidakwe na mtu ili kuzuia zisipasuke

Basi nikajitusu kwenye kitengo cha udakaji ndoo kisha site manager akaagiza kazi ifanyike kwa speed ili tuwahi kumaliza mapema. Hapo ndipo mchaka mchaka ulipoanza kwanza baada ya lisaa limoja ukatokea ukimya huku ikisikika misonyo ya ghadhabu kwa wafanyakazi hasa wamama

mmoja akasema anaenda kunywa maji akazunguka nyuma ya kibaraza akasepa mazima, wawili walisema wanaenda chooni kwa muda tofauti tofauti wote nao hawa hawakurudi so nguvu kazi ikawa imepungua

Huku namimi shughuli ikaanza kuambatana na mvua maana yule mdau kule juu alielemewa na wingi wa ndoo hivyo akawa anazitupa roughly bila kuangalia hali ya mdakaji chini mpaka ikafika muda nikawa nazikwepa zinadondoka nyingine zinapasuka.

Site manager akasikika akitoa sauti ya mamlaka akinikemea kua nisikwepe ndoo badala yake nidake vinginevyo pesa yangu itakatwa kufidia hasara ya uvunjifu wa ndoo

Zile ndoo zilikua zimeshikamana na zege kiasi cha kufanya ziwe nzito pasipo hatazege ndani yake, nikajikuta mikono imechubuka damu zinatoka nikaamua kusepa fasta kwenye hicho kitengo

kwa ufupi

Ile kazi tulitoka mida kama hii majira haya haya ya saa 2 kuelekea saa 3 usiku na bado haikua imeisha so mtasha akasema tutaendelea kesho

pamoja na hayo Boss mtata akasema siongezi pesa niko tayari nilipe pesa ya kukodi hizi machine za kuchanganyia zege zukae hata wiki mbili

nilivyofika geto nilishindwa kuoga bafuni maana mikono yote ilijaa vidonda vibichi vilivyosababisha nishindwe kuvua nguo. Kwa jinsi mikono ilivyokua damaged nilishindwa unauma nilishindwa kula hata ugali kwa mikono nilitumia kijiko napo kwa shida sana

Nlienda kuoga mtoni kwenye kibwawa cha kuzuga nilijitupa kwenye maji hivyo hivyo nikiwa niko complete nguo hadi viatu. Na nilienda kulala hivyo hivyo na viatu

kesho yake tulifanikisha kumaliza kazi majira ya saa nane tukapewa mpunga wetu bila usumbufu nakumbuka nusu ya ile hela nili spend kununua madawa ya kujiuguza
 
Picha linaanza niliambiwa pima ndoo 120 za mchanga jamaa akawasha fegi hapo bado kuchanganya na kuanza kumsogezea,nakumbuka hii siku nilivyopanda kitandani hapo hapo nikasikia jogoo anawika kwamba kumeshakucha siku nyingine inaanza.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji119]
 
Hii mikazi sidhani kama kuna mtu anapenda kuifanya ila kuna stage ilitubidi wengine tufanye ili tusukume siku.

Wapo ambao zimewatoa, na tupo ambao hazikututoa.

Niliacha hii mikazi kipindi hicho napambana life baada ya braza mmoja aliyekuwa ameshika kazi, akishachukua mpunga kwa bosi basi anasema tumfuate mpaka kilabuni huko ndiko anaenda kutupea hela. Ili wamama wa kilabuni wajue yeye ndio bosi.

Kiufupi ni kazi ambayo inachangamoto zake hasa zikikukuta sio mtu wa kujichanganya sana kwa watu.

Ukiona mtu miaka nenda rudi anafanya saidia fundi ameshindwa hata kujiongeza na yeye kuwa fundi basi jua ana matatizo ya kiakili.

Nawaoneaga huruma vijana wanaotoka chuo na kuanza kupiga hii kazi.
Nakumbuka tulivyobebeshwa tofali mzee sitamani kurudia kaz ya aina hiyo 😂😂
 
Back
Top Bottom